washachukua umeme waoYAANI UPEPOOO WA LEOOOO JAMAN MMEUONAAA KWAMARA YAKWANZA NAONA MABAYI KMR YANARUSHWA NA UPEPOO
JAMANI HUYU KIMBUNGA HIDAYA HAFAII HAFAIII
NA TAARIFA SAATISA USIKU TUJIPANGE HIVI SASA MTWARA WANAPAMBANA NA HALI ZAOOO DAR USIKU NA MSISHANGAE UMEME KUKATWA PASINI NGUO ZENU ZA JUMUIYA MAPEMA KABISA MSITAKE KISINGIZIOO
MUNGU AWATANGULIE ATUONDOLEE NA MAAFA HAYA YA HIDAYA ...IKIWEZEKANA KIRUDI KWA PEPEKALE KABISA...
Bila shaka unaish kimara au ubungo.....Huku niliko saa nane hii usiku wamekata umeme
Kimara na ubungowashachukua umeme wao
GobaUmeme ushakatwa baadhi ya maeneo. Ninaripoti nikiwa mbezi
Nadhan wamekata sehemu nyingi. Lakin ni afadhali kuliko majanga yatokeeUmeme ushakatwa baadhi ya maeneo. Ninaripoti nikiwa mbezi
Kesho mchana mchana kitakuwa na kasi ya hatariAlafu sijui kwanini ndo unazidi kuongezeka
Kesho au leo baadae🤔🤔Kesho mchana mchana kitakuwa na kasi ya hatari
Leo tarehe 4 MEIKesho au leo baadae🤔🤔
Mungu aepushie mbali hichi kitu...kiukweli hatutapona yakitokea haya
View: https://youtu.be/8dPQrIPxqnA?si=R-xT9ORS2CpG9jf1
Angalieni video hiyo kuona mfano wa speed (kasi ya upepo huo) kulingana na kesho kitakuja na speed kati ya 75km/h hadi 100km/h
Sio video halisi ni mfano wa kuonyesha nguvu ya upepo katika units zake za m/s au km/h
Ohooo... Mungu atufanyie wepesi kwa kweli.Kesho mchana mchana kitakuwa na kasi ya hatari