Updates za Ligi ya Drafti: Watatu watinga Fainali

fantastic philip

Senior Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
195
Reaction score
688
Michuano yetu ya mchezo wa drafti inaendelea huko kitunda katika ukumbi wa JAVA mshindi wa kwanza kujinyakulia shilingi laki mbili na wa pili laki moja,

Mpaka muda huu waliotinga NUSU FAINALI ni

DOGO SISCO

DODO YASINI

DOGO ATHUMANI

Mechi ambayo bado haijaisha ni NDURI vs USTADH KIWEMBE Mpaka sasa wameshacheza michezo 14 hakuna aliyeona lango la mwenzie mechi bado inaendelea.

ASANTENI SANA.
 
Dogo Cisco lazma achukue kitita fantastic philip
Mbona zawadi ndogo sana.
Yaani mtu ukomae kuumiza akili kupambana na mkali mwenzio mnarudia game mara 14 kutafuta mshindi.

Zaidi ya masaa sita umekaa kwenye benchi unaumiza akili, halafu eti unakuja kuambulia laki moja!!
 
Yule Ronaldo siku hizi simsikii kabisa.
Atakua alishaona uduwanzi kupoteza masaa saba kwenye kiti unaumiza akili kisha unaambulia elfu hamsini.
 
prize?
 
Mbona zawadi ndogo sana.
Yaani mtu ukomae kuumiza akili kupambana na mkali mwenzio mnarudia game mara 14 kutafuta mshindi.

Zaidi ya masaa sita umekaa kwenye benchi unaumiza akili, halafu eti unakuja kuambulia laki moja!!
Huku kitaani kwetu tunakomaa kutwa nzima hatupati hata 100
 
Mbona zawadi ndogo sana.
Yaani mtu ukomae kuumiza akili kupambana na mkali mwenzio mnarudia game mara 14 kutafuta mshindi.

Zaidi ya masaa sita umekaa kwenye benchi unaumiza akili, halafu eti unakuja kuambulia laki moja!!
Mkuu unavyohisi wewe hiyo zawadi imetoka wapi na aliyetoa hiyo zawadi anafaidikaje?
 
Nashaurri hao waliocheza games 14 bila kupata mshidi wapigiane penati tu ili mshindi apatikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…