Updates za Mazao ya msimu wa 2022

Shea gharama uluzotumia itasaidia kwa wale wenye mpango wa kufanya hivyo
 
Hongera sana..

Ingependeza picha tuone huo mfumo wa umwagiliaji.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi wakaazi tuliombali na water source
 
Ngoja nami nifuatilie, nitaleta mrejesho
 
Kwa wadau watakao hitaji mazao kama mahindi, ufuta, mbaazi na soya na wako serious tuchekiane ... nipo mgodini kwa bei nafuu sanaa
 
Kwa wadau watakao hitaji mazao kama mahindi, ufuta, mbaazi na soya na wako serious tuchekiane ... nipo mgodini kwa bei nafuu sanaa
Weka bei zake hapa wapime ndio wakucheki
 
Na sisi wakaazi tuliombali na water source
Your life, your purpose. Proper planning prevent poor performance. Tanzania is a very big country with a lot of potentials including agricultural ones; and most of them are yet to be exploited. You may work out to explore andv utilize ground water which may give you similar results as current water. Your family chain start with you!
 
Hongera sana..

Ingependeza picha tuone huo mfumo wa umwagiliaji.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko mbali na shamba hivyo picha wakati wa kumwagilia kwa sasa sina isipokuwa mfumo niliotumia wa umwagiliaji ni very simple. Umwagiliaji kwa sasa haifanyiki cause mahindi yamekomaa yakiendelea kukauka tayari kwa kuvunwa. Shamba linapakana na mto mkubwa usiokauka mwaka mzima hivyo nachofanya ni kulekeza pipes mtoni na kuchukua maji na kumwagilia kwa mashine inyorusha juu na kufanya mazao kama yananyeshewa mvua. Mashine hii kwa Tanzania inauzwa around milioni 40. Haina complication. Ni simple kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…