Updates za mechi ya simba na African Lyon

Mechi mbili mfululizo za VPL Simba wanapata ushindi kupitia wapinzani kufanya makosa ya kijinga hata kwenye ndondo cup hatuyaoni..Takukuru kamata
 
hah hah kwa kigezo gani sasa mkuu..kwa muonekano wa macho au Simba walipitia mlango wa nyuma..by the way unaweza kuisaidia takukuru katika hilo hah hah yanga bhana..
 
Mechi mbili mfululizo za VPL Simba wanapata ushindi kupitia wapinzani kufanya makosa ya kijinga hata kwenye ndondo cup hatuyaoni..Takukuru kamata
Umeanza kulifahamu soka lini?
 
Ngada FC wanadhani kila mtu anafanya kile wao wanachofanya.
Mimi nawafananisha ni toto linalodhani kufaulu mtihani ni kuingia na kibomu tu ama kuiba pepa, mwenzake akisoma na kufaulu kihalali haliamini kabisa....
 
Lile goli la kujifunga ni goli la muamana wa mpesa. Ubingwa lazima upatikane kwa njia yoyote mwaka huu
 
Back
Top Bottom