Upekee wa udsm na vyuo vingine....ukumbi wake wa Nkruma hall kuwemo kama nembo kwenye noti ya tsh.500.

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Udsm in chuo kikubwa na sifa yake kubwa ni kupata bahati ya ukumbi wake maarufu wa lecture Nkruma hall kuwa kama. Nembo ktk noti ya tsh.500
Pia wahitimu wa chuo hicho ni kama uhitimu na kozi ya jkt sabAjbu mazingira yake ni mazoezi toshA kwani kunA .miinuko na miteremko rafiki kwa afya na ina walimu bora kabisa kama Dr.lwaitama-mstaafu,Dr Mbura,prf.Mkandala-mstaafu,Dr kadege,pf Sivji na wengine wengi,
Mwisho kipo chini ya rais mstaafu Dr.Jakaya kikwete aliesoma hapo,ambae aliteuliwa. Na mh rais Dr.John maghufuli,
Nb;ni chuo pekee ambacho hutoa kozi ya uchoraji katuni hasa aina ya tinga-tinga fpa department na kozi ya uogeleaji
Nifollow instagram kwa jina kaukwaju
 
Andika vizuri
 
Unawaaibisha graduates wa UDSM kwa huo uandishi..
Hujui kuanza sentensi kwa herufi kubwa baada ya kituo..
Habari haina aya ,hueleweki point yako ni nini?

Halafu watu wanaokomaa kusifia vyuo kichwani huwa weupe sana kwahio wanatumia title ya chuo kuficha ujinga wao.
 
We jamaa umesoma UDSM? Kama ni kweli karudie carier yako. Unadhalilisha elimu yako, maana kuandika tu huwezi. Swaini.
 
Unatuangusha tuliosoma hapo.
 
Kwani naye kasoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…