Upekee wa udsm na vyuo vingine....ukumbi wake wa Nkruma hall kuwemo kama nembo kwenye noti ya tsh.500.

Upekee wa udsm na vyuo vingine....ukumbi wake wa Nkruma hall kuwemo kama nembo kwenye noti ya tsh.500.

Umekurupuka kuandika mkuu tulia alafu tuhabarishe habari ikiwa imejitosheleza nenda Maktaba ukapitie pitie mkuu alafu tuletee vitu sasa
 
UDSM mambo yamewabana UDOM na SUA wanakuja kwa speed mnaanza kuleta sababu ndogo ndogo
 
Kama hao walimu uliowataja wapo humu,naamini watakua wanamlaani aliyeku-admit huko UDSM
 
Hawa ndio wanajiita wahitimu WA UDSM! Kaaah KAZI IPO
 
Siamini kama Mzee Anangisye ndiye aliyekutuma uandike huu utumbo!
 
Back
Top Bottom