Upelelezi kesi ya Zumaridi haujakamilika, kwanini anashikiliwa?

Hii hapa inaitwa machozi ya mamba:

Serikali inamlinda isije jamii ikachukua sheria mkononi ndio maana wanamshikiria hadi pale vuguvugu lake litapoisha ndio watamwachia

Kwani Zumaridi kawaomba ulinzi ea aina hii unayoiongelea mkuu? Siyo kuwa wanmshikilia kinyume na utashi na dhamira ykr?
Kila kitu nimekielezea mkuu

Wewe utakua una matatizo kichwani kwako sio bure

Soma vizuri nilichokueleza
 
Nimeshangazwa sana na hii habari, mtuhumiwa anashikiliwa gerezani zaidi ya miezi 7 lakini kila siku upande wa mashtaka wanadai upelelezi haujakamilika, sasa kwanini walimkamata?

Inavyoonekana, mashtaka wanayomtuhumu nayo yenye uzito ni yale ya kuwafanyia fujo polisi siku waliyoenda kumkamata, kinyume na hapo hakuna mashtaka mengine ya maana waliyonayo, ndio maana kila siku upelelezi bado haujakamilika.

Haya mambo yanaonesha tulivyo na mfumo mbovu wa kimahakama, ajabu hakimu anatakiwa kuwapa upande wa mashtaka angalizo, kesi ikiitwa tena mahakamani upelelezi ukiwa bado haujakamilika mshtakiwa aachiwe huru.
Wanafanya kumkomesha?
 
Kila kitu nimekielezea mkuu

Wewe utakua una matatizo kichwani kwako sio bure

Soma vizuri nilichokueleza
Hakuna ulichoeleza hapo zaidi ya kuwa kilichopo ni machozi ya mamba tuliyoyazowea.

Zumaridi hajaomba ulinzi wala jamii inayomzunguka haina matatizo naye achilia mbali nia ya kumdhuru au hata kuwapo ushahidi tu kwenye hayo.

Vilio vya mamba wala watu nyie kama hivyo tumevizoea mnapotaka kumkomoa mtu au mnapojitafutia ule ulaji haramu mliojihalalishia wenyewe.

Kama ungali huoni, kwenye hali kama hizi mwenye matatizo ya dhahiri ni wewe Mr. Policeman.
 
Kwanza ipo wazi

Polisi, Mahakimu na Majaji wa Nchi hii wana kawaida ya ku ba ka na ku la wi ti Sheria zilizotungwa na Bunge (ashakum sio Matusi) kwanini nasema hivyo?

Soma Criminal Act (Sheria ya Makosa ya Jinai) inasemaje au Penal Code (Kanuni ya Adhabu) inasemaje kuhusu mashitaka km haya hapo ndio utagundua nini kinaendelea

Juzi kuna Daktari kabaka na kulawiti mtoto wa miaka 17 ila kaachwa kwa dhamana ya million 5 na wadhamini wawili, sasa kuna nini kwa huyu mama?

Kuna Jambo limefichwa sio bure kuna sababu nyingine sio hio ya kupigana na Polisi akiwa nyumbani kwake sio sababu

Sababu ni kujiona yeye ni Mfalme na kujiona yeye ni MUNGU mwanamke kosa jingine ni kuendesha ibada tofauti au kinyume na taratibu za kidini

Kwa hio hilo kosa kabambikiwa na kumshikiria kwa namna nyingine ni kumpotezea upepo wake na wafuasi wake hakuna MUNGU mwanamke wala Mfalme mwanamke

Anashikiriwa sababu yale aliyokua anayafanya ni Chukizo kwa jamii na inapingana na imani zingine za kidini

Serikali inamlinda isije jamii ikachukua sheria mkononi ndio maana wanamshikiria hadi pale vuguvugu lake litapoisha ndio watamwachia

Anajiitaje yeye MUNGU?
Anajiitaje yeye Mfalme? tena Mfalme mwanamke kinyume na tamaduni zetu

Mtoa mada emu fafanua na hapo
Kuhusu sheria za nchi Penal Code na Criminal Procedure nakubaliana nawe, kwamba Zumaridi anashikiliwa kinyume cha sheria.

Lakini unapokuja kusisitiza kwamba Zumaridi anashikiliwa ili kumpotezea upepo wa waumini wake, kisa alijiita Mungu, hapa napingana nawe..

Kwanza, serikali siku zote inajinasibisha haina dini, kama Zumaridi kwa kujiita kwake yeye ni Mungu ndio kosa, basi afunguliwe mashtaka hayo, kesi isikilizwe, ili uamuzi dhidi yake utolewe, lakini sio kumshikilia kwa zaidi ya miezi nane kwa uchunguzi ambao haujulikani utaisha lini.

Kumshikilia huku nako pia ni kosa, hawa wahusika wanatakiwa kuadhibiwa kwa wanachofanyia hawa watuhumiwa.
 
Hakuna ulichoeleza hapo zaidi ya kuwa kilichopo ni machozi ya mamba tuliyoyazowea.

Zumaridi hajaomba ulinzi wala jamii inayomzunguka haina matatizo naye achilia mbali nia ya kumdhuru au hata kuwapo ushahidi tu kwenye hayo.

Vilio vya mamba wala watu nyie kama hivyo tumevizoea mnapotaka kumkomoa mtu au mnapojitafutia ue ulaji haramu mliojihakalishia wenyewe.

Kama ungali huoni, kwenye hali kama hizi mwenye matatizo ya dhahiri ni wewe Mr. Policeman.
Wewe kaa kushoto

Hautaki kunielewa basi baki na akili yako mgando

Tatizo kujifanya kujua yes kuna Sheria za Nchi lakini pia usisahau kuna mbadala wa Sheria kwa usalama wa Nchi na wananchi wake

Nimekwambia analindwa na yupo sehemu salama ndio maana bado anaishi muda ukifika wa kuachwa huru ataachwa huru na sio yeye tu mahabusu wote wenye kesi mbalimbali wanalindwa na serikali na wapo sehemu salama

Muda wao wa kuachiwa ukifika wataachiwa huru kwa kufuatana na taratibu za kimahakama na pia usisahau mahakama ina taratibu zake za kuendesha mashtaka yake haifanyi vile unavyotaka wewe

Hauwezi ukailazimisha mahakama ifanye vile unavyotaka wewe maana ule ni muhimiri unaojitegemea hawatakiwi kutoa maamuzi kutokana na pressure za watu kutoka nje km wewe

Wewe elewa hivyo hutaki basi kula boga

Pia hujanijibu

Anajiitaje yeye MUNGU?
Anajiitaje yeye Mfalme?
Kwanini anaendesha ibada zake tofauti au kinyume na kanuni za kidini?

Jibu hayo maswali yangu kwanza alafu tuendelee km unataka mjadala na mimi
 
Kwanza ipo wazi

Polisi, Mahakimu na Majaji wa Nchi hii wana kawaida ya ku ba ka na ku la wi ti Sheria zilizotungwa na Bunge (ashakum sio Matusi) kwanini nasema hivyo?

Soma Criminal Act (Sheria ya Makosa ya Jinai) inasemaje au Penal Code (Kanuni ya Adhabu) inasemaje kuhusu mashitaka km haya hapo ndio utagundua nini kinaendelea

Juzi kuna Daktari kabaka na kulawiti mtoto wa miaka 17 ila kaachwa kwa dhamana ya million 5 na wadhamini wawili, sasa kuna nini kwa huyu mama?

Kuna Jambo limefichwa sio bure kuna sababu nyingine sio hio ya kupigana na Polisi akiwa nyumbani kwake sio sababu

Sababu ni kujiona yeye ni Mfalme na kujiona yeye ni MUNGU mwanamke kosa jingine ni kuendesha ibada tofauti au kinyume na taratibu za kidini

Kwa hio hilo kosa kabambikiwa na kumshikiria kwa namna nyingine ni kumpotezea upepo wake na wafuasi wake hakuna MUNGU mwanamke wala Mfalme mwanamke

Anashikiriwa sababu yale aliyokua anayafanya ni Chukizo kwa jamii na inapingana na imani zingine za kidini

Serikali inamlinda isije jamii ikachukua sheria mkononi ndio maana wanamshikiria hadi pale vuguvugu lake litapoisha ndio watamwachia

Anajiitaje yeye MUNGU?
Anajiitaje yeye Mfalme? tena Mfalme mwanamke kinyume na tamaduni zetu

Mtoa mada emu fafanua na hapo
Acha upumbavu we msomi
 
Yule kahaba inabidi asitoke maana amewakaririsha misukule yake kuwa yeye ni Mungu. Acha karma imtafune. Binadamu Huwezi jipa ukuu wa Mungu ukasavaivu. Pitia Instagram kuna msukule mmoja hivi unajiita SELEZUMARIDI yaani huyu msukule Zumaridi kwake ni Mungu
 
Wewe kaa kushoto

Hautaki kunielewa basi baki na akili yako mgando

Tatizo kujifanya kujua yes kuna Sheria za Nchi lakini pia usisahau kuna mbadala wa Sheria kwa usalama wa Nchi na wananchi wake

Nimekwambia analindwa na yupo sehemu salama ndio maana bado anaishi muda ukifika wa kuachwa huru ataachwa huru na sio yeye tu mahabusu wote wenye kesi mbalimbali wanalindwa na serikali na wapo sehemu salama

Muda wao wa kuachiwa ukifika wataachiwa huru kwa kufuatana na taratibu za kimahakama na pia usisahau mahakama ina taratibu zake za kuendesha mashtaka yake haifanyi vile unavyotaka wewe

Hauwezi ukailazimisha mahakama ifanye vile unavyotaka wewe maana ule ni muhimiri unaojitegemea hawatakiwi kutoa maamuzi kutokana na pressure za watu kutoka nje km wewe

Wewe elewa hivyo hutaki basi kula boga

Pia hujanijibu

Anajiitaje yeye MUNGU?
Anajiitaje yeye Mfalme?
Kwanini anaendesha ibada zake tofauti au kinyume na kanuni za kidini?

Jibu hayo maswali yangu kwanza alafu tuendelee km unataka mjadala na mimi

Uko nje ya mada mjomba. Suala hapa ni kuwa:

"kama kesi haiendelei kwa sababu ya upelelezi kutokukamilika kwanini anashikiliwa. SI yeye tu na wengi wengine."

Rejea kwenye mada kujiridhisha.

Kwa msingi wa hoja mwenye kukaa kushoto ni wewe au anzisha Uzi wako Ili tujikite kwenye tuhuma zake kama ndiyo mlengo wako.

Kwa maana kamili ya kuwa maswali yako umeyaleta kwenye uzi usiohusika.

Tutawakemea nyote ambao kwa sababu zenu mnawashikilia wengine huku mkilia vilio vya mamba wala watu eti kuwa mna huruma mno na usalama wao.

Habari ndiyo hiyo.
 
Kwenye himaya ya walamba asali uongo uongo ndiyo kwao. Mambo nyeti hufanyiwa siasa.

Alisema Samia watuhumiwa waache kukamatwa bila upelelezi kuwa umekamilika. Hizo kumbe zilikuwa hekaya za abunwasi tu.

Kumesikika Mwanza:

"Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hemedi Khalid ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa kuwa upelelezi wa kesi inayomkabili Diana Bundala, maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ haujakamilika."

Tabora Nako,

""Watu wasikamatwe kabla ya uchunguzi," Waziri Mkuu Majaliwa haimuhusu?"

Uongo uongo tu kwenye mambo nyeti. Huu ni muendelezo ule ue wa kutuona wananchi ni kama mang'ombe tu, kwa kutopigania kuona haki zetu zinalindwa kwa mujibu wa katiba.

Yapi yameheshimiwa? Ni kuacha kupigwa au kuteswa watuhumiwa? Ni polisi traffic kujazana mabarabarani kufukuzia rushwa? Ni takukuru kuwajibika? Ni maoni ya wananchi kuheshimiwa? Nk, nk?

Ama kwa hakika, "watanzania tatizo letu ni ujinga uliopitiliza." -- FAM.
Rais ashatoa tamko. Lakini seems polisi wanaye wanayemtii kuliko Rais
 
Uko nje ya mada mjomba. Suala hapa ni kuwa:

"kama kesi haiendelei kwa sababu ya upelelezi kutokukamilika kwanini anashikiliwa. SI yeye tuna wengi wengine."

Rejea kwenye mada kujiridhisha.

Kwa msingi wa hoja mwenye kukaa kushoto ni wewe au anzisha Uzi wako Ili tujikite kwenye tuhuma zake kama ndiyo mlengo wako.

Kwa maana kamili ya kuwa maswali yako umeyaleta kwenye uzi usiohusika.

Tutawakemea nyote ambao kwa sababu zenu mnawashikilia wengine huku mkilia vilio vya mamba wala watu eti kuwa mna huruma mno na usalama wao.

Habari ndiyo hiyo.
Kumbe wewe ndio mmoja wa mfuasi wake

Kesi ipo mahakamani iachie mahakama ifanye kazi yake usiingilie mahakama ni chombo huru

Nimemaliza mkuu
 
Kwanini yote yasiwe kwa mujibu wa sheria? Kwanini rais asene hivi watendaji wafanye vile?
Kumbuka Mungu yupo juu ya Rais na watu wote kwa ujumla. Mungu wa kweli amewapiga vipofu ili huyo mwana mama anaejiita MFALME mara sijui Mungu aonje joto la jiwe. Ni kufuru sana kwa mwanamama kama yule kujiita Mfalme tena Mungu
 
Mwambie D

Hua hua...

Na wasipoangalia anaweza akaozea ndani MUNGU HA JA RI BI WI
MUNGU HA DHI HA KI WI

AbominationOOO!
 
Kumbe wewe ndio mmoja wa mfuasi wake

Kesi ipo mahakamani iachie mahakama ifanye kazi yake usiingilie mahakama ni chombo huru

Nimemaliza mkuu

Miye ni mfuasi wa wote wanaoonewa na wote wapigania haki.

Kwamba amiri jeshi mkuu hatimaye kasikia fukuto letu, katamka msiwakamate watu bila kukamilika upelelezi, tutataka utekelezaji.

Ninakazia: Si Zumaridi tu, bali ni mfuasi hata wa wenye tuhuma ya kibanda cha mlinzi mnaowashikilia kabla ya upelelezi, pia mnaowatesa, kuwapiga na hata kuwauwa mikononi mwenu.

Ni hayo tu ndugu Ramazani na wenzako.

Habari yenyewe ndiyo hiyo.
 
Sawa mkuu umesikika

Asante kwa kuwasilisha hoja, tuungane kwenye mijadala mingine yenye kuleta tija na manufaa kwa Nchi
 
Kumbuka Mungu yupo juu ya Rais na watu wote kwa ujumla. Mungu wa kweli amewapiga vipofu ili huyo mwana mama anaejiita MFALME mara sijui Mungu aonje joto la jiwe. Ni kufuru sana kwa mwanamama kama yule kujiita Mfalme tena Mungu

Kwa hiyo hii joto ya jiwe ni kwa mujibu wa kanuni ipi yenye kuruhusu mtuhumiwa kushikiliwa bila upelelezi kukamilika kinyume na maelekezo ya amiri jeshi mkuu?

Leo Zumaridi kesho kwa nini usiwe wewe?

Wako wapi kina Lijenje Azory au Sanane?
 
Sawa mkuu umesikika

Asante kwa kuwasilisha hoja, tuungane kwenye mijadala mingine yenye kuleta tija na manufaa kwa Nchi

Si vibaya ukatambua haki zetu hazina mbadala. Kwetu haki zetu ni kipaumbele.

Hakukosea beberu: 'Our rights matter"

Kwani wako wapi kina Lijenje, Azory, Ben au nani walikuwa kwenye viroba?

Tunajua Kuna walamba asali vibaraka na chawa wao, kwao haki zetu ni kama upuusi mwingine tu.
 
Si vibaya ukatambua haki zetu hazina mbadala. Kwetu haki zetu ni kipaumbele.

Hakukosea beberu: 'Our rights matter"

Kwani wako wapi kina Lijenje, Azory, Ben au nani walikuwa kwenye viroba?

Tunajua Kuna walamba asali vibaraka na chawa wao, kwao haki zetu ni kama upuusi mwingine.
Sasa wewe unazungumzia Zimalidi au unazungumzia nini?

Soma title head ya maada yako kwanza usichanganye mafaili
 
Nawazungumzia wewe na magenge yenu ya wasiojulikana mliojimilikisha haki zetu mkitaka kutufanya sisi kuishi kuwa ni kwa hisani zenu.

Habari ndiyo hiyo.
 
Nawazungumzia wewe na magenge yenu ya wasiojulikana mliojimilikisha haki zetu mkitaka kutufanya sisi kuishi kuwa ni kwa hisani zenu.

Habari ndiyo hiyo.
Asante mkuu basi wahusika wamekusikia
 
Back
Top Bottom