Kila kitu nimekielezea mkuuHii hapa inaitwa machozi ya mamba:
Serikali inamlinda isije jamii ikachukua sheria mkononi ndio maana wanamshikiria hadi pale vuguvugu lake litapoisha ndio watamwachia
Kwani Zumaridi kawaomba ulinzi ea aina hii unayoiongelea mkuu? Siyo kuwa wanmshikilia kinyume na utashi na dhamira ykr?
Wanafanya kumkomesha?Nimeshangazwa sana na hii habari, mtuhumiwa anashikiliwa gerezani zaidi ya miezi 7 lakini kila siku upande wa mashtaka wanadai upelelezi haujakamilika, sasa kwanini walimkamata?
Inavyoonekana, mashtaka wanayomtuhumu nayo yenye uzito ni yale ya kuwafanyia fujo polisi siku waliyoenda kumkamata, kinyume na hapo hakuna mashtaka mengine ya maana waliyonayo, ndio maana kila siku upelelezi bado haujakamilika.
Haya mambo yanaonesha tulivyo na mfumo mbovu wa kimahakama, ajabu hakimu anatakiwa kuwapa upande wa mashtaka angalizo, kesi ikiitwa tena mahakamani upelelezi ukiwa bado haujakamilika mshtakiwa aachiwe huru.
Hakuna ulichoeleza hapo zaidi ya kuwa kilichopo ni machozi ya mamba tuliyoyazowea.Kila kitu nimekielezea mkuu
Wewe utakua una matatizo kichwani kwako sio bure
Soma vizuri nilichokueleza
Kuhusu sheria za nchi Penal Code na Criminal Procedure nakubaliana nawe, kwamba Zumaridi anashikiliwa kinyume cha sheria.Kwanza ipo wazi
Polisi, Mahakimu na Majaji wa Nchi hii wana kawaida ya ku ba ka na ku la wi ti Sheria zilizotungwa na Bunge (ashakum sio Matusi) kwanini nasema hivyo?
Soma Criminal Act (Sheria ya Makosa ya Jinai) inasemaje au Penal Code (Kanuni ya Adhabu) inasemaje kuhusu mashitaka km haya hapo ndio utagundua nini kinaendelea
Juzi kuna Daktari kabaka na kulawiti mtoto wa miaka 17 ila kaachwa kwa dhamana ya million 5 na wadhamini wawili, sasa kuna nini kwa huyu mama?
Kuna Jambo limefichwa sio bure kuna sababu nyingine sio hio ya kupigana na Polisi akiwa nyumbani kwake sio sababu
Sababu ni kujiona yeye ni Mfalme na kujiona yeye ni MUNGU mwanamke kosa jingine ni kuendesha ibada tofauti au kinyume na taratibu za kidini
Kwa hio hilo kosa kabambikiwa na kumshikiria kwa namna nyingine ni kumpotezea upepo wake na wafuasi wake hakuna MUNGU mwanamke wala Mfalme mwanamke
Anashikiriwa sababu yale aliyokua anayafanya ni Chukizo kwa jamii na inapingana na imani zingine za kidini
Serikali inamlinda isije jamii ikachukua sheria mkononi ndio maana wanamshikiria hadi pale vuguvugu lake litapoisha ndio watamwachia
Anajiitaje yeye MUNGU?
Anajiitaje yeye Mfalme? tena Mfalme mwanamke kinyume na tamaduni zetu
Mtoa mada emu fafanua na hapo
Wewe kaa kushotoHakuna ulichoeleza hapo zaidi ya kuwa kilichopo ni machozi ya mamba tuliyoyazowea.
Zumaridi hajaomba ulinzi wala jamii inayomzunguka haina matatizo naye achilia mbali nia ya kumdhuru au hata kuwapo ushahidi tu kwenye hayo.
Vilio vya mamba wala watu nyie kama hivyo tumevizoea mnapotaka kumkomoa mtu au mnapojitafutia ue ulaji haramu mliojihakalishia wenyewe.
Kama ungali huoni, kwenye hali kama hizi mwenye matatizo ya dhahiri ni wewe Mr. Policeman.
Acha upumbavu we msomiKwanza ipo wazi
Polisi, Mahakimu na Majaji wa Nchi hii wana kawaida ya ku ba ka na ku la wi ti Sheria zilizotungwa na Bunge (ashakum sio Matusi) kwanini nasema hivyo?
Soma Criminal Act (Sheria ya Makosa ya Jinai) inasemaje au Penal Code (Kanuni ya Adhabu) inasemaje kuhusu mashitaka km haya hapo ndio utagundua nini kinaendelea
Juzi kuna Daktari kabaka na kulawiti mtoto wa miaka 17 ila kaachwa kwa dhamana ya million 5 na wadhamini wawili, sasa kuna nini kwa huyu mama?
Kuna Jambo limefichwa sio bure kuna sababu nyingine sio hio ya kupigana na Polisi akiwa nyumbani kwake sio sababu
Sababu ni kujiona yeye ni Mfalme na kujiona yeye ni MUNGU mwanamke kosa jingine ni kuendesha ibada tofauti au kinyume na taratibu za kidini
Kwa hio hilo kosa kabambikiwa na kumshikiria kwa namna nyingine ni kumpotezea upepo wake na wafuasi wake hakuna MUNGU mwanamke wala Mfalme mwanamke
Anashikiriwa sababu yale aliyokua anayafanya ni Chukizo kwa jamii na inapingana na imani zingine za kidini
Serikali inamlinda isije jamii ikachukua sheria mkononi ndio maana wanamshikiria hadi pale vuguvugu lake litapoisha ndio watamwachia
Anajiitaje yeye MUNGU?
Anajiitaje yeye Mfalme? tena Mfalme mwanamke kinyume na tamaduni zetu
Mtoa mada emu fafanua na hapo
Nimekuelewa mkuuAcha upumbavu we msomi
Wewe kaa kushoto
Hautaki kunielewa basi baki na akili yako mgando
Tatizo kujifanya kujua yes kuna Sheria za Nchi lakini pia usisahau kuna mbadala wa Sheria kwa usalama wa Nchi na wananchi wake
Nimekwambia analindwa na yupo sehemu salama ndio maana bado anaishi muda ukifika wa kuachwa huru ataachwa huru na sio yeye tu mahabusu wote wenye kesi mbalimbali wanalindwa na serikali na wapo sehemu salama
Muda wao wa kuachiwa ukifika wataachiwa huru kwa kufuatana na taratibu za kimahakama na pia usisahau mahakama ina taratibu zake za kuendesha mashtaka yake haifanyi vile unavyotaka wewe
Hauwezi ukailazimisha mahakama ifanye vile unavyotaka wewe maana ule ni muhimiri unaojitegemea hawatakiwi kutoa maamuzi kutokana na pressure za watu kutoka nje km wewe
Wewe elewa hivyo hutaki basi kula boga
Pia hujanijibu
Anajiitaje yeye MUNGU?
Anajiitaje yeye Mfalme?
Kwanini anaendesha ibada zake tofauti au kinyume na kanuni za kidini?
Jibu hayo maswali yangu kwanza alafu tuendelee km unataka mjadala na mimi
Rais ashatoa tamko. Lakini seems polisi wanaye wanayemtii kuliko RaisKwenye himaya ya walamba asali uongo uongo ndiyo kwao. Mambo nyeti hufanyiwa siasa.
Alisema Samia watuhumiwa waache kukamatwa bila upelelezi kuwa umekamilika. Hizo kumbe zilikuwa hekaya za abunwasi tu.
Kumesikika Mwanza:
"Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hemedi Khalid ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa kuwa upelelezi wa kesi inayomkabili Diana Bundala, maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ haujakamilika."
Tabora Nako,
""Watu wasikamatwe kabla ya uchunguzi," Waziri Mkuu Majaliwa haimuhusu?"
Uongo uongo tu kwenye mambo nyeti. Huu ni muendelezo ule ue wa kutuona wananchi ni kama mang'ombe tu, kwa kutopigania kuona haki zetu zinalindwa kwa mujibu wa katiba.
Yapi yameheshimiwa? Ni kuacha kupigwa au kuteswa watuhumiwa? Ni polisi traffic kujazana mabarabarani kufukuzia rushwa? Ni takukuru kuwajibika? Ni maoni ya wananchi kuheshimiwa? Nk, nk?
Ama kwa hakika, "watanzania tatizo letu ni ujinga uliopitiliza." -- FAM.
Kumbe wewe ndio mmoja wa mfuasi wakeUko nje ya mada mjomba. Suala hapa ni kuwa:
"kama kesi haiendelei kwa sababu ya upelelezi kutokukamilika kwanini anashikiliwa. SI yeye tuna wengi wengine."
Rejea kwenye mada kujiridhisha.
Kwa msingi wa hoja mwenye kukaa kushoto ni wewe au anzisha Uzi wako Ili tujikite kwenye tuhuma zake kama ndiyo mlengo wako.
Kwa maana kamili ya kuwa maswali yako umeyaleta kwenye uzi usiohusika.
Tutawakemea nyote ambao kwa sababu zenu mnawashikilia wengine huku mkilia vilio vya mamba wala watu eti kuwa mna huruma mno na usalama wao.
Habari ndiyo hiyo.
Kumbuka Mungu yupo juu ya Rais na watu wote kwa ujumla. Mungu wa kweli amewapiga vipofu ili huyo mwana mama anaejiita MFALME mara sijui Mungu aonje joto la jiwe. Ni kufuru sana kwa mwanamama kama yule kujiita Mfalme tena MunguKwanini yote yasiwe kwa mujibu wa sheria? Kwanini rais asene hivi watendaji wafanye vile?
Mwambie DKumbuka Mungu yupo juu ya Rais na watu wote kwa ujumla. Mungu wa kweli amewapiga vipofu ili huyo mwana mama anaejiita MFALME mara sijui Mungu aonje joto la jiwe. Ni kufuru sana kwa mwanamama kama yule kujiita Mfalme tena Mungu
Kumbe wewe ndio mmoja wa mfuasi wake
Kesi ipo mahakamani iachie mahakama ifanye kazi yake usiingilie mahakama ni chombo huru
Nimemaliza mkuu
Sawa mkuu umesikikaMiye ni mfuasi wa wote wanaoonewa na wote wapigania haki.
Kwamba amiri jeshi mkuu hatimaye kasikia fukuto letu, katamka msiwakamate watu bila kukamilika upelelezi, tutataka utekelezaji.
Ninakazia: Si Zumaridi tu, bali ni mfuasi hata wa wenye tuhuma ya kibanda cha mlinzi mnaowashikilia kabla ya upelelezi, pia mnaowatesa, kuwapiga na hata kuwauwa mikononi mwenu.
Ni hayo tu ndugu Ramazani na wenzako.
Habari yenyewe ndiyo hiyo.
Kumbuka Mungu yupo juu ya Rais na watu wote kwa ujumla. Mungu wa kweli amewapiga vipofu ili huyo mwana mama anaejiita MFALME mara sijui Mungu aonje joto la jiwe. Ni kufuru sana kwa mwanamama kama yule kujiita Mfalme tena Mungu
Sawa mkuu umesikika
Asante kwa kuwasilisha hoja, tuungane kwenye mijadala mingine yenye kuleta tija na manufaa kwa Nchi
Sasa wewe unazungumzia Zimalidi au unazungumzia nini?Si vibaya ukatambua haki zetu hazina mbadala. Kwetu haki zetu ni kipaumbele.
Hakukosea beberu: 'Our rights matter"
Kwani wako wapi kina Lijenje, Azory, Ben au nani walikuwa kwenye viroba?
Tunajua Kuna walamba asali vibaraka na chawa wao, kwao haki zetu ni kama upuusi mwingine.
Sasa wewe unazungumzia Zimalidi au unazungumzia nini?
Soma title head ya maada yako kwanza usichanganye mafaili
Asante mkuu basi wahusika wamekusikiaNawazungumzia wewe na magenge yenu ya wasiojulikana mliojimilikisha haki zetu mkitaka kutufanya sisi kuishi kuwa ni kwa hisani zenu.
Habari ndiyo hiyo.