upendeleo kwa wanawake ni njia sahihi ya kuleta usawa na wanaume?

kweli tuwape fursa na sio upendeleo
 

Duu,you must be kidding!
 
mi siamini km kuna kitu mfume dume, nadhani ni fikra ambazo zimepandikizwa vichwani mwa watu, km hii hali ilikuwepo toka mwanzo basi niamini kuwa wanawake wamejiletea wenyewe kwani walionyesha kutokuwa na uwezo toka mwanzo, pointi ni kuwa kama ni ubunge au uwaziri basi mwanamke ni lazima aupate kwa njia sawa na mwanamme sio kupewa tu, hyo nadhani ndio itakuwa njia sahihi ya kuwaempower...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…