Upendeleo wa wazi unaua ngumi nchini

kimbweto

Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
53
Reaction score
190
Nimekuwa mdau wa Vitasa LIVE baada ya Azam TV kuonyesha mchezo huo ubabaishaji umekuwa mkubwa, mabondia wanaoletwa ni wabovu na majaji wamekuwa wakipendelea mabondia wetu wanapopigwa.

Ushauri, kama upendeleo utaendelea mchezo huu utakufa na hautofuatiliwa.
 
Masumbwi iliishia enzi za Matumla, hizi mnaita vitasa ni uduanzi tu.
 
Ndomana wakiendaga nje
Kupigana majibu yanakuwaga tofauti

Ila huyu bondia aliyepigana na mfaume mfaume,alikuwa hana uwezo
Kabisa

Ova
 
fafanuwa vema ilikuwaje wengine hatukuangalia. Upande wangu pambano lililo niacha mdomo wazi ni lile la Tinampey na Mwakinyo,hadi leo sijajuwa vigezo gani hutumika kumtangaza mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…