Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndomana wakiendaga njenimekuwa mdau wa vitasa live baada ya Azam kuonyesha mchezo huo.ubabaishaji umekuwa mkubwa,mabondia wanaoletwa ni wabovu na majaji wamekuwa wakipendelea live manondia wetu wanapopigwa.Ushauli kama upendeleo utaendelea mchezo huu utakufa na hautofuatiliwa
fafanuwa vema ilikuwaje wengine hatukuangalia. Upande wangu pambano lililo niacha mdomo wazi ni lile la Tinampey na Mwakinyo,hadi leo sijajuwa vigezo gani hutumika kumtangaza mshindi.nimekuwa mdau wa vitasa live baada ya Azam kuonyesha mchezo huo.ubabaishaji umekuwa mkubwa,mabondia wanaoletwa ni wabovu na majaji wamekuwa wakipendelea live manondia wetu wanapopigwa.Ushauli kama upendeleo utaendelea mchezo huu utakufa na hautofuatiliwa