Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Njoo ule mema ya dunia, miezi miwili unakuwa na watoto 3Sijiii
Mimi ndio najipendekeza kimoyo moyo πKwani unadhani mpka ufatilie wee utaona tu ukiingia bar tajiri Min mtu mbadiπ π
Huniwezi hata ukipewa ukae na mimi kwa one week πNjoo ule mema ya dunia, miezi miwili unakuwa na watoto 3
Hutaki kuitwa mama?Huniwezi hata ukipewa ukae na mimi kwa one week π
SiaminiMimi ndio najipendekeza kimoyo moyo π
njoo upate mapacha sita uvunje rekodi ya duniaTayali mi ni mama
kijana
Tuliaaaaaa
Not interestednjoo upate mapacha sita uvunje rekodi ya dunia
Amini tu, pisi za kimatumbi ukiziletea shobo zinakunyanyasa kihisia bora niishie kujipendekeza kimoyo moyo tuπSiamini
Ila sawa
Noma haya kaza πAmini tu, pisi za kimatumbi ukiziletea shobo zinakunyanyasa kihisia bora niishie kujipendekeza kimoyo moyo tuπ
Uzi ufungwe, πππUsijipe umuhimu kwenye maisha ya mtu.
Huu msemo kuna mtu anapenda kuutumia ukiitajika utaitwa kwani huna jina π πKanuni ni 1, ukihitajika utaitwaaa. πππ
Ila ngumu kumezaa, Aloooh
Hapo sasa, ukihitajika utaitwaa πππHuu msemo kuna mtu anapenda kuutumia ukiitajika utaitwa kwani huna jina π π
Kwahiyo usipoitwq ukajipelekaHapo sasa, ukihitajika utaitwaa πππ
Umejipendekezaaa!! πππKwahiyo usipoitwq ukajipeleka
π€£π€£π€£π€£ aiseee mimi na hii kiburi woiiiiiUmejipendekezaaa!! πππ
Ndo ufanye kuongeza na ujeuri, ππππ€£π€£π€£π€£ aiseee mimi na hii kiburi woiiiii
π πNdo ufanye kuongeza na ujeuri, πππ