heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Karibu kila mtu anayeufuatilia muziki wa Bongo Flava anajua Diamond ndio msanii anayetafutwa zaidi kwaajili ya show kuliko msanii
yeyote Tanzania but nani alifahamu kuwa amemjengea mama yake nyumba yenye thamani ya shilingimilioni 260?
Lakini hivyo ndivyo alivyofanya msanii huyu kipenzi cha wengi kwa mujibu wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM kama alivyofunguka jana.
Na kwa mujibu wa interview aliyoifanya hivi karibuni kwenye kipindi kingine cha XXL katika kituo hicho cha radio, hitmaker huyo wa
Mawazo yuko booked hadi mwezi July.
"Mtu anasema yeye ananiroga mimi nashuka mwezi mzima ntakuwa na show Europe, Jumamosi nina show Hyatt pale, Jumapili nina show Mombasa wiki inayofuata ninasafiri naenda nje nina show kama kumi yaani ukinibook mimi mpaka mwezi wa saba nimejaa wewe unaniambiamimi nimeshuka vipi," alisemaDiamond.
Wow, now that's what we call suffering from success!!
SOURCE:bongo5.com