Kila mara mnatangaza kuuza viwanja na nyumba zzidi ya millioni 200. NHC wanauza viflat kwa bei hiyo na watu wananunua hamuwashangai.
HUYU kijana wa watu kujenga nyumba milioni 260 mnaanza kumjadili. Ama kweli bongo kwa uchawi! manake wivu, uroho na KIJICHO vyote ni UCHAWI. vijeba vya moyo vitawaua.
Hongera Diamond kumkumbuka mamako na Mungu azidi kukubariki.