Upendo kwa mama; Diamond anamjengea mama yake nyumba ya TZS 260M

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Karibu kila mtu anayeufuatilia muziki wa Bongo Flava anajua Diamond ndio msanii anayetafutwa zaidi kwaajili ya show kuliko msanii
yeyote Tanzania but nani alifahamu kuwa amemjengea mama yake nyumba yenye thamani ya shilingimilioni 260?

Lakini hivyo ndivyo alivyofanya msanii huyu kipenzi cha wengi kwa mujibu wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM kama alivyofunguka jana.

Na kwa mujibu wa interview aliyoifanya hivi karibuni kwenye kipindi kingine cha XXL katika kituo hicho cha radio, hitmaker huyo wa
Mawazo yuko booked hadi mwezi July.

"Mtu anasema yeye ananiroga mimi nashuka mwezi mzima ntakuwa na show Europe, Jumamosi nina show Hyatt pale, Jumapili nina show Mombasa wiki inayofuata ninasafiri naenda nje nina show kama kumi yaani ukinibook mimi mpaka mwezi wa saba nimejaa wewe unaniambiamimi nimeshuka vipi," alisemaDiamond.

Wow, now that's what we call suffering from su
ccess!!

SOURCE:bongo5.com
 
Milion 260? Labda kama ile yumba Ya Wema Sepetu.Hizo pesa kwa mauzo yepi? Hapa kwetu manzese kwa mfuga mbwa cd moja buku.Ajipange aje kivingine awaongopee hao hao.
 
260mil???????? za Zimbabwe ya kipindi kile......
 
Hizi 260 jamani hivi mbona tunashusha thamani hela yetu. Picha ya nyumba tuione
 
Inawezekana si inasemwa kwamba kwa kila show anayoitwa halipwi chini ya 10m maana yake hiyo ni hela ya show 26 tu, atakuwa ameimba/ameitwa zaidi ya hizo show. Na sisi tuchakarike kutafuta hela tusibaki kuguna tu na kubisha.
 
Milion 260? Labda kama ile yumba Ya Wema Sepetu.Hizo pesa kwa mauzo yepi? Hapa kwetu manzese kwa mfuga mbwa cd moja buku.Ajipange aje kivingine awaongopee hao hao.

hategemei mauzo ya cd kaka..cku hiz ni show tu ndiyo zinazowalipa wanamziki
na ukumbuke platnumz ndo anapga show nying na kulipwa pesa nyingi
OVER
 
Inawezekana si inasemwa kwamba kwa kila show anayoitwa halipwi chini ya 10m maana yake hiyo ni hela ya show 26 tu, atakuwa ameimba/ameitwa zaidi ya hizo show. Na sisi tuchakarike kutafuta hela tusibaki kuguna tu na kubisha.

cyo inasemekana hilo ndiyo dau lake kaka
na ana foleni ya shows mpaka mwez wa 7....
 
Inawezekana si inasemwa kwamba kwa kila show anayoitwa halipwi chini ya 10m maana yake hiyo ni hela ya show 26 tu, atakuwa ameimba/ameitwa zaidi ya hizo show. Na sisi tuchakarike kutafuta hela tusibaki kuguna tu na kubisha.

“Mtu anasema yeye ananiroga mimi
nashuka mwezi mzima ntakuwa na
show Europe, Jumamosi nina show
Hyatt pale, Jumapili nina show
Mombasa wiki inayofuata ninasafiri
naenda nje nina show kama kumi
yaani ukinibook mimi mpaka mwezi
wa saba nimejaa wewe unaniambia
mimi nimeshuka vipi,” alisema
Diamond.
 
Hiv ww unekerwa na mafanikio ya
mwenzio kumjengea mama yake
kweli? Nyie ndo
wachawi! Sema ww umememfanyia
nn mama yako? Kumununulia chupi
dem wako hadi ugomvi! Achen
ushamba nawengi wenu mnaoponda
mmechoka mnaishi walipo olewa
dada zenu"
 
Milion 260? Labda kama
ile yumba Ya Wema Sepetu.Hizo pesa kwa mauzo yepi? Hapa kwetu manzese
kwa mfuga mbwa cd moja buku.Ajipange aje kivingine awaongopee hao
hao.

Mjombaa,NGADA haitanii,music hauwezi kulipa kihivyo kibongobongo,mianya ya wizi ni mingi mno
 
Asipokujengea na wewe walau chumba kimoja atakua amekosea sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Uswahili nao tatizo!
Sasa si ajenge tu, kwani lazma amjengee mamake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…