Upendo kwa mama; Diamond anamjengea mama yake nyumba ya TZS 260M

Bongo bwana kwa sifa za kijinga! Prado yake huyo Domo ya Million 15 tunaambiwa ni gari la kifahari sasa na magari ya Jose Chameleone sijui tuyaitaje!?

 
Bongo bwana kwa sifa za kijinga! Prado yake huyo Domo ya Million 15 tunaambiwa ni gari la kifahari sasa na magari ya Jose Chameleone sijui tuyaitaje!?


we unayo ya milion ngap mzee
una wivu wa kijnga kabisa
 
we unayo ya milion ngap mzee
una wivu wa kijnga kabisa

heaven on desert watu hawana wivu. Upumbafu ni pale unapofanya kitu cha kawaida ns kuwafanya watu wakupe sifa wakati hicho kitu sio exceptional. Vijana kibao tu wanawajengea nyumba wazazi wao na wako kimya. Sasa yeye kafanya nini special hadi atangaze.
Halafu ni uongo mkubwa na sifa za kijinga kwamba kamjengea mama yake nyumba ya milioni 260. Huyo msanii hawezi hata kupata milioni mia tatu kwa mwaka, kwa soko letu Tanzania na Afrika mashariki kwa jumla.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa hii kama ingekuwa supported na picha ya nyumba hiyo ingekata mzizi wa fitna kabisa.

Hata hivyo hongera zake kwa kumjengea nyumba mama yake hata kama itakuwa thamani yake imekuzwa.
 
kwahiyo kama ni za show 26 hana matumizi?halipi wasaidizi wake?haweki ata gari mafuta?haongi?kama yite hafanyi basi ni masikini tu huyo
 
Mjombaa,NGADA haitanii,music hauwezi kulipa kihivyo kibongobongo,mianya ya wizi ni mingi mno
Msiogope mbona inawezekana tu ukatumia muziki kama front then ukafanya issues zingine kama money laundering,drugz pedlin ,prostituion ,contraband eh?mbona sanaa ni one of best legit platform to do the illegal!
 
si unajua lazima yalie mbwata mbwata mbwata

Mim nachoona hapa kumsaidia mzazi wak na kutangaza si jambo zur coz unaambiwa unapofanya wema usitangaze maana mi nadhan hamjengei nyumba mama ake ili watu wafahamu kuwa anampenda mama ako coz tulishalifahamu hilo, but anafanyie vile ili kupata ladh ya mzazi, then domond ungekuwa unapunguza na uwongo kidogo maana nakumbuka mwaka ajana ulisema unajenga hotel ya nyota nne haijaisha mara ushaanza kutudanganya unamjengea bi mkubwa wak nyumba, mafanikio hayatanganzw hadhalan ndugu acha tu tutayaona wenyewe

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
C'mon dude why every time u keep posting diamond's thread? Be you bro! Hope u're not fag..t, no homo.
 
C'mon dude why every time u keep posting diamond's thread? Be you bro! Hope u're not fag..t, no homo.
Might be Diamond himself ..you know how these mofoz are. Or better yet he's a post rider..riding on that ish huku akiimbiwa Lala salama.
Diamond bado anapanga nyumba Sinza...lakini kutwa ni majigambo. Mbona kuna watu tumefanya wajibu wetu wa kuwajengea wazazi wetu lakini tuko kimya. Uswahili kazi sana.
 
You damn right he might be diamond himself! Coz this shit doesn't make sense at all.
 
C'mon dude why every time u keep posting diamond's thread? Be you bro! Hope u're not fag..t, no homo.
mi sijasoma hio post!sijaisoma hii post. heaven on desert hebu fikir zaid ya haps,sogea hatua moja zaid!
 
Last edited by a moderator:
Kama imekamilika wapi picha? Mbezi gani imejengwa hiyo nyumba?
 
hehehe watu wanamakeke bana salio la account lina digit za kutosha mpaka ukiangalia unahisi makengeza :dizzy:
 
shiiiit!!!!!!!! rl dc guy anaplay hard bt sntchz n weng et awez kunnua nyumba ya 260 ao wanaobsha wanabsha cz wao ndo wanawashusha wasanii wa bongo kwa kuburn cd zao instd f buyn orgnl copy n alxo kwny show wanaingia bure oo wanawahonga mabaunsa dat y wanashaa hw com ana du dc n dc,,,,,, kp goin bro
 
 
iwe nyumba ya 260M au 25M na hela kapata wapi hiyo ni juu yake na polisi...ila fundisho kubwa hapa ni kwamba kuwakumbuka wazazi wetu na kuwafanyia makubwa wakiwa hai ni muhimu, ikibidi hata tujinyime tuwape wao. sio kuwaacha wanaishi kwenye vibanda halafu mtu akifa wanawe wanachanisha na kununua jeneza la milioni 2 pesa ambazo zingetosha kabisa kumkarabatia kibanda chake akiwa hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…