hahaha ndio yale ya trafiki police kanikamata ananiuliza wapi taa?:director: nami najibu ndo napita!:car:si unajua lazima yalie mbwata mbwata mbwata
Tuwekee picha tuone!!! Kwa mana hata aknunua t,shirt anaziweka bbm,itakuja kuwa nyumba.,
acheni flag za kishamba,.
Umekua tomaso wewe.wewe amini kama utaki amini potezea sio lazima
kuishi kuona mengiMjombaa,NGADA haitanii,music hauwezi kulipa kihivyo kibongobongo,mianya ya wizi ni mingi mno