Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Soma history ya Trump uone kama inawezekana au lah
 
Huyo mtoto vigogo wa sisiemu walishamuwekea dau na kumuahidi wadhifa na nafasi.

Ilikuwa ni swala la muda tu. Ila amedhalilisha sana ukoo wake, tulidhania baba yake ametoa binti mwenye misimamo yake kumbe ni mdangaji tu kama wengine, aende zake huko wakamtombe vizuri.
 
Kunywa maji mengi sanaa maana naona unabubujikwa machozi ya huzuni kwa kuona Sacco's yenu ikipukutika kila uchwao na kukimbiwa na watu wote wenye akili Timamu .chadema mpaka mwakani itajikuta imebakia na watu wasiojitambua tu .hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kubakia ndani ya chama kilichokosa Dira,muelekeo na ajenda.chama gani mwenyekiti anawatishia watu kila siku kuwa kutaka kugombea uwenyekiti ndani ya chama ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi.

Chama gani kila siku kinatafuna pesa za chama kama mchwa wenye njaa? Leo ukiuliza pesa za join the chain zipo wapi hupati majibu Zaidi ya kutishwa na kutukanwa.ndio maana wenye akili. Wanaamua kuondoka zao ili kuwaacha nyumbu na fisi.
 
Chadema inapendwa kwa moyo, bahati mbaya usipokuwa na moyo wa upambanaji kuipenda kwako Chadema kutakuwa hakuna maana yoyote kwa sababu ya nature ya siasa zetu, ndio maana mdada ameona isiwe tabu, bado mbichi anaogopa michubuko ya virungu vya polisi.

Anastahili kuwa bungeni, ana kichwa kizuri, ila atakuwa ameona hataweza kwenda bungeni kwa style ya kuvutana mashati, ndio maana ameona afadhali ajiunge nao ili awe na njia nyepesi zaidi ya kufika kule anapostahili kuwa, tusubiri tuone kama CCM watampa jimbo la Geita, au ndio viti maalum mtarajiwa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu walete.....👇👇
 

Attachments

  • _WANASIASA_WENYE_TABIA_YA_KIMALAYA_MALAYA_-__MWALIMU_NYERERE_(144p).mp4
    1 MB
Naona biashara ya kununua wapinzani imerejea tena kwa kasi kama enzi za Magufuli.

Tusubirie ziara za msimamizi wa mirathi kua na matangazo ya usajili mpya
Chadema bhana 😂😂 yani wanachama wenu wakiwaona hamueleweki na kuamua kuwakimbia madai wananunuliwa, lakini wanaccm wakija kwenu mnawasifia 😂

Chadema nyie ni mapunguani

CC mke wa mbowe Erythrocyte
 
CDM imepoteza jembe, ila amermtumia haki yake ya kikatiba, hongera CCM kwa usajiri mzuri.
 
Chadema hamjawahi kujitambua, hamna future plans Nani aendelee kubaki kwenu
 
Chadema bhana 😂😂 yani wanachama wenu wakiwaona hamueleweki na kuamua kuwakimbia madai wananunuliwa, lakini wanaccm wakija kwenu mnawasifia 😂

Chadema nyie ni mapunguani

CC mke wa mbowe Erythrocyte
Kwani JF ni CHADEMA pekee ndio wapo hapa?
Ina maana John Cheyo akijiunga CCM kwa kununuliwa CHADEMA watakaa kimya ?
 
Shida amechakatwa sana huko amekuja mpya kuchakatwa na kina PENA huku CCM hawa madanga viti maalumu wanachakazwa sana
 
na kule Manyara Mbulu kuna mtu mzito CDM kahamia CCM katibu mkuu mpya wa CCM anaifagia Chadima. Amkeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…