Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nina hasra Mkuu, wanatuharbia nchi watu wa tabia hii.
Kuna mjinga mwingine juz anamponda sana Luhaga kumbe anafukuzia teuzi za Uwaziri wa Sheria. Hovyo sana hawa watu.
Huyu huyu waliogombea mwili WA marehemu!! Na mwenye mume!! Hafai hata Kwa dawa, ila wakiangalia sura atawafaa
 
Huyu huyu waliogombea mwili WA marehemu!! Na mwenye mume!! Hafai hata Kwa dawa, ila wakiangalia sura atawafaa
Daaah l, sijui ni kwanini watu wa ajabu ndio hupata nafasi za maana nchi hii? Wanazingatia wingi wa maneno sio uwezo wa utendaji wa mtu.
 
Wanasiasa ndivyo walivyo

Siku zote nasema usimpe mdhamana mwanasiasa [emoji1]

Ova
Right. Ila, to be fair, serikali inapoamua kutumia hazina ya taifa tena bila ukomo kulipa au kununua watu (individuals) kwa malengo binafsi, si rahisi kwa mtu kukwepa mtego. Anaweza kulipwa bei yoyote bila bugdha yoyote toka kokote.

Wananchi wenyewe hawana habari wala hawajali. Hawajui maslahi yao ndani ya serikali yao yako vipi. Nani basi asimamie principles? For what? For whom? Wakati Rais ana blank cheque to use as she pleases!

Hatuna nchi.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.

Katumia Haki yake ya kikatiba sioni tatizo..shida inakuja baadhi wanapoanza kumtukana na kumpa majina kibao wakati huohuo ccm wakihamia huko mnawapongeza na kuwasifia wakati wote hao wanatimiza wajibu wao kikatiba wa kujiunga na chama chochote Cha kisiasa..
 
Wanasiasa ndivyo walivyo

Siku zote nasema usimpe mdhamana mwanasiasa [emoji1]

Ova
Labda Kama akina mbowe ambao wao tauari wanapesa sohuwezi kuwabadilisha kwa vipande 12 vya fedha..ila wengine ukifika tu bei wanasaliti kambi japo si vibaya Sana kwasababu nao wanamaisha inabidi yaendelee plus majukumu...mfano Mtatiro,Zitto, Nassari,Mdee na wenzake, na wengine wengi
 
Back
Top Bottom