macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu Erythrocyte hili siyo jambo jipya. Ila mimi ujumbe wangu kwa CHADEMA ni huu: Akili zitumike vizuri. Jazeni ''sleeper cells'' huko CCM. Kwa wale ambao hawajui maana ya sleeper cells ni majasusi wanaopandikizwa kwa adui yako bila yule adui kuwa na habari. Wakiwa huko, wanajifanya ni chawa wabobezi wa CCM na wanatumika siku kunapokuwa na umuhimu. Kiufupi hata tume ya uchaguzi kama CHADEMA watacheza vizuri wanaweza kupandikiza watu huko. Ila inatakiw iwe siri kubwa sana, na hao mashushushu wajulikane na viongozi wawili tu , tena wale wa ngazi za juu.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri