Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.

Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.

Tunakutakia kila la heri
Mapambano ananufaika mzee wa mansion tu, bora amechagua njia yake
 
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.

Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.

Tunakutakia kila la heri
Huyu siyo kijana ,kamaliza kidato Cha Sita 2007 hawezi kuwa kijana.
 
Duuh huyu dada kanishangaza, yaani anaenda kujiunga na waliompora kura 2020? Dah ajabu sana. Anasahau walimuua Mawazo hapo hapo Geita leo hii anamgeuka kwa kuungana na wauwaji.
Chadema mliisha mfukuza,kwani kamati kuu ilivyowavua uanachama hao wamama na kuwaita COVID-19 ulikuwa wapi?ndio maana tunasema chadema sio chama cha Siasa bali wajasilisiasa, viongozi hawajui wamuondoe nani wabaki na yupi,mwisho wa siku chama kitabaki na akina Mdude wazee wa ndio mzee, Sasahivi bado kidogo Mdee na wezake, Chadema kimekuwa chama cha kuibua vipaji vya wanasiasa machachali na kuwaachia kuondoka.
 
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.

Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.

Tunakutakia kila la heri
Inasikitisha sana, anawaza zaidi maisha yake na bwanaze kuliko Watanganyika.
Hana tofauti na waliouza reslimali za Taifa.
Huyu mtoto ataendelea kutumiwa kama ile mipira tuletewayo kwa msaasa wa watu wa Marekani.
 
Siasa kama Mapenzi tu na Wabunge wa viti maalum kama Madanga(tabia za kimalayamalaya) tu wanahamia palipo na uhakika wa Pesa/teuzi.

Hoja ya chadema ya kuondoa mfumo wa viti maalum na kuwaingiza wanawake katika mchuono wa kawaida itasaidia sana kuondoa wanawake wa hovyo hovyo wenye tabia za kimalayamalaya bungeni.
Inawezekana hata wewe ni Malaya tu
 
Nataka kujua nae ameiponda CHADEMA hadharani?
Ataachaje na mtu akienda CCM anawehuka?
JamiiForums1389173211.jpg
 
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.

Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.

Tunakutakia kila la heri
Inasikitisha sana aisee Itakuwa kanunuliwa huyo
 
Siasa za Tanzania kila siku zinarudi Nyuma badala ya kusonga mbele

UVCCM wameanza tena kushangilia mapokezi ya Makapi kutoka Vyama vya Upinzani

Nchi ngumu Sana.🐼
 
Yaani mtu akihama anakuwa makapi?Je Edward Lowassa alipohamia Chadema na hata kuwa mgombea wa Chadema alikuwa makapi?Inaleta picha gani chama kinachagua so called makapi kuwa mgombea.Au anakuwa makapi akitoka Chadema tu, akihamia Chadema anakuwa muhimu?
Upendo ana haki yake kikatiba kuchagua chama anachoona kinamfaa.
 
Yaani mtu akihama anakuwa makapi?Je Edward Lowassa alipohamia Chadema na hata kuwa mgombea wa Chadema alikuwa makapi?Inaleta picha gani chama kinachagua so called makapi kuwa mgombea.Au anakuwa makapi akitoka Chadema tu akihamia anakuwa muhimu?
Upendo ana haki yake kikatiba kuchagua chama anachoona kinamfaa.
Bado uko miaka 9 iliyopita 🐼
 
Yaani mtu akihama anakuwa makapi?Je Edward Lowassa alipohamia Chadema na hata kuwa mgombea wa Chadema alikuwa makapi?Inaleta picha gani chama kinachagua so called makapi kuwa mgombea.Au anakuwa makapi akitoka Chadema tu, akihamia Chadema anakuwa muhimu?
Upendo ana haki yake kikatiba kuchagua chama anachoona kinamfaa.
Katika ujumla wa yote hayo, tuhitimshe kwa pamoja, siasa za Tanzania zinazidi kurudi nyuma, badala ya kusonga mbele.
 
Bado uko miaka 9 iliyopita 🐼
Kwa hiyo mantiki yako ya makapi ina expire baada ya muda?
Unaposema uongo,uongo huwa unakuwa ukweli baada ya muda?
Watu huwa wanamquote Mwalimu Nyerere kwa aliyoyasema miaka mingi iliyopita wanakuwa wanaishi miaka aliyekuwepo?
Jifunze kutetea hoja yako kwa hoja za nguvu sio nguvu za hoja.
You never lose either you win or you learn.
 
Back
Top Bottom