johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo liko wapi?Huyu akatibiwe kuna shida kichwani...
Umeshapanic 😂..pia aeleze V-8 za Ccm zinanunuliwa kwa ruzuku.
..Na fedha zinazotumika kununua wapinzani ni ruzuku.
..vyote hivyo ni mazao ya kodi na tozo.
La Ufipa st au Mikocheni?picha ya jengo
Kuhusu nini?Shida iko wapi sasa?
Yote mawili ili tutoe uchambuziLa Ufipa st au Mikocheni?
Kwahiyo ?Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Umeonaeee ,hana jipya aende tu huko ccmTatizo liko wapi?
Huenda siku zake zimejichangaya, itakuwa kuna dubwasha amepenyezewa.Tatizo liko wapi?
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida
Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi
Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Anaweza kuibuka mtu akadai ni Jengo lake binafsiShid nn? Si hela zao?
Sasa shida iko wapi? Ningeona wa maana kama angesema fedha zimepatikana kwa ufisadi au rushwa!Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida