Pre GE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Pre GE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
Kwani wameiba? Fedha za ruzuku si stahili yao? Za michango ya waliokuwa wabunge si ilitokana na makubaliano nao? Au alitaka waibe au wakope badala ya kutumia pesa yao? Na hao Chadema hawakuwa na matumizi mengine au mapato mengine zaidi ya ruzuku na michango ya wabunge? Kwa miaka miwili toka 2020 CDM imekuwa inategemea mchango wa Aidan peke yake? Yeye ameondoka kwa sababu ameona CDM haimfai basi angeachia hapo na ku concentrate kwenye chama chake kipya. Au alitegemea atabembelezwa au atasakamwa na chama chake cha zamani? Binti anazidi kujiharibia.

Amandla...
 
Kwenye maisha bora kwa kila manzania, ahsante sana kwa ilo ila maisha lazima yaendelee MUNGU ni wetu sote
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti maalum na Wabunge wa Kawaida

Peneza amesema ilifika Wakati waliionea aibu nyumba ile ya mtaa wa Ufipa ndipo ikaamuliwa litafutwe Jengo lenye hadhi

Michango yetu kama Wabunge pamoja na Ruzuku inazidi tsh 5 billion kwa msimu wa 2015 - 2020 amesisitiza mh Upendo Peneza Msuya

Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
anawafunua na kuwavua wanaume hadi boxer 🐒
 
Maana hizo hela ziliwekwa kwenye account ya mtu Binafsi na mkataba wa mauziano una jina la mtu?

Nilikuwa nafikiri una uwezo wa kufikiri kumbe na wewe ni hewa tu, kwamba hiyo ruzuku alipewa mtu mkononi?
Aliyeongea ni mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge Mstaafu

Nyie matutusa hamna mnachoelewa 🐼
 
Back
Top Bottom