Upendo usivyo eleweka

Upendo hutengeneza daraja lakini je hisia zao ziko kamili? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Macho yasije yakasababisha daraja lilotengenezwa na hisia kuvunjika maana haya macho yana uadui sana
Wao wametengeneza hisia kupitia maandishi tu. Eti uandishi wa Lucas Mwashambwa ndiyo umevuta hisia za ephen_ . Ndiyo maana nawashauri waonane kwanza kabla ya yote
 
Shida yako unazungukazunguka, nia yako ni kujua kama tumeshawahi kuonana na lucas au lah!
Mambo yetu tuachieni wenyeweeeeeeeee.....
Una play smart game na unazidi kumvuruga Lukasi 😁😁😁
 
"Upendo ni huruma"

Amenambia somo wangu anayenipa ABC Kuhusu ndoa siku kadhaa zilizopita.

Aidha somo wangu alisema"
nyamwi mwanangu, usione watu wanadumu kwenye ndoa ukadahani wanapendana sana au hawakwazani au upendo hauishi

Mapenzi kwenye ndoa huduma kwa siku 7 au 30, kinachofuta hapo Huwa ni huruma na subra
MWANAUME inabidi azidishe huruma na mwanamke inabidi azidishe subra "mwisho WA kumnukuu somo wangu

Kupitia haya maneno ya somo wangu tunaweza tukatoa jambo Kuhusu upendo
 
Hii ni nadharia tu kwenye matendo haipo sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…