Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Naumwa sana nikiona watu aina yako mnaleta uchonganishi wakutaka kumvuruga ephen waridi wa Moyo wanguUnaumwa nini sasa π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naumwa sana nikiona watu aina yako mnaleta uchonganishi wakutaka kumvuruga ephen waridi wa Moyo wanguUnaumwa nini sasa π
Kwa bahati mbaya hao viumbe na huruma ni kama maji na mafuta hasa kwenye mrengo alioulenga yeye πAnajua kuitafuta huruma huyu jamaa ππ
Sijawahi na sitowahi kuleta uchonganishi, napenda sana mfikie malengo ya upendo wenu mkuu baada ya teuzi mvae sare za kijaniπNaumwa sana nikiona watu aina yako mnaleta uchonganishi wakutaka kumvuruga ephen waridi wa Moyo wangu
Mambo yake namuachia mwenyewe, naomba tu apate teuzi itamsaidia sana.π π π
Sasa huyu Lukasi afanyaje?
Maana ephen ana play smart sana huu mchezo lakini Lukasi kazimika mwili mzima
Asije tu akakengeuka akafanya kama ya RcJamaa kazama mazima aisee, kumbe ephen_ anacheza huu mchezo kijanja sana. πππ
Ili ndoto za Lukasi zitimie alambe teuzi hata Ujumbe wa Serikali za mitaa tu
Je yeye anakupenda..? HahaNampenda Sanaaaa ephen mpaka naumwa.
Mnazidi kuleta uchonganishi kati yangu na Lucas Mwashambwa naplay smart kivipi wakati mimi na Lucas ni damu damuJamaa kazama mazima aisee, kumbe ephen_ anacheza huu mchezo kijanja sana. πππ
Ili ndoto za Lukasi zitimie alambe teuzi hata Ujumbe wa Serikali za mitaa tu
Wao wametengeneza hisia kupitia maandishi tu. Eti uandishi wa Lucas Mwashambwa ndiyo umevuta hisia za ephen_ . Ndiyo maana nawashauri waonane kwanza kabla ya yoteUpendo hutengeneza daraja lakini je hisia zao ziko kamili? π π π
Macho yasije yakasababisha daraja lilotengenezwa na hisia kuvunjika maana haya macho yana uadui sana
Shida yako unazungukazunguka, nia yako ni kujua kama tumeshawahi kuonana na lucas au lah!Wao wametengeneza hisia kupitia maandishi tu. Eti uandishi wa Lucas Mwashambwa ndiyo umevuta hisia za ephen_ . Ndiyo maana nawashauri waonane kwanza kabla ya yote
Mmh! Mmeshindikana ninyi watu.Shida yako unazungukazunguka, nia yako ni kujua kama tumeshawahi kuonana na lucas au lah!
Mambo yetu tuachieni wenyeweeeeeeeee.....
Lucas Mwashambwa kwani ukilamba teuzi mimi utaniacha?Mkuu Hawa Wanawake ni Wajanja sana, Lukasi akilamba teuzi tu huyu ephen_ tayari atakuwa Mama mtu ππππ
Anaanzaje kwanza π π π πLucas Mwashambwa kwani ukilamba teuzi mimi utaniacha?
Hii ni nadharia tu kwenye matendo haipo sasa πππ"Upendo ni huruma"
Amenambia somo wangu anayenipa ABC Kuhusu ndoa siku kadhaa zilizopita.
Aidha somo wangu alisema"
nyamwi mwanangu, usione watu wanadumu kwenye ndoa ukadahani wanapendana sana au hawakwazani au upendo hauishi
Mapenzi kwenye ndoa huduma kwa siku 7 au 30, kinachofuta hapo Huwa ni huruma na subra
MWANAUME inabidi azidishe huruma na mwanamke inabidi azidishe subra "mwisho WA kumnukuu somo wangu
Kupitia haya maneno ya somo wangu tunaweza tukatoa jambo Kuhusu upendo
Hebu nidokezee kidogo... Ilikuwa kuwaje ukanaswa na penzi la chawa wa maza?Kuhusu mimi na Lucas mambo yetu mtuachie sisi wenyewe..!