Upendo usivyo eleweka

Upendo usivyo eleweka

Mkuu ebu tuheshimiane kidogo
Uliniuliza swali nikakujibu kwa upendo tu! Ila umevuka mipaka naomba urudi kwenye mstari ili next time tusionane wabaya.
Kwa nini unapenda vitisho badala ya kujibu maswali?
 
Nakuapia lazizi wangu ephen kuwa Siwezi nikakuacha hata hatua moja wala hutapungua katika ❤️ wangu . Nakupendaa Sanaa ephen,nakupenda sana waridi wangu,nakupenda sana ephen wangu uinukaye kama nyota ya matumaini katika moyo wangu, nakupendaa sana ephen nakupendaa sana ephen,nakupenda sana ephen. Nitakuwa na wewe popote nilipo,nitasimama na wewe katika raha na nitabeba shida zote mabegani mwangu katika shida ili wewe uwe na furaha na kunipa faraja
We jamaa huwa unanifurahisha sana, hapo bado hujakutana nae Live nahisi hadi utabubujikwa na machozi ya furaha 😀🤣
 
Hivi mshawahi kukutana physically wewe na Lucas Mwashambwa ? Msije mkabadili IDs zenu humu.

Siku mnakutana unaweza kukuta ephen_ ana sura kama mwanaume, mfupi, magulu baja na kabakisha jino moja tu kinywani. Na Lucas ana sura kama majeruhi wa moto, cha pombe, ana mapunye kichwa kuzima, meno yote anayo lkn yana rangi ya karoti.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom