Salaam!Salaam,
Upendo wa mwanamke upo dynamic, hutegemea zaidi matarajio yake alonayo kwako kukamilika...
Ni kweli kabisa mkuuRight, ila kuna wanawake akishakua disapponted na matarajio yake ni ngum sana kukuelewa.
Pamoja mkuu.Ni kweli kabisa mkuu
Kila mwanamke hua na matarajio yake, hivo wanawake ndo wanafaa kujibu hili.Mfano wa matarajio?
Huko kusimamia unachokiamini, unaweza kua ndo umekidhi matarajio yake.Sasa nani anatakiwa kumeet matarajio ya mwenzake? acheni hizo insecurities wanaume. kuna wakati unaweza kuwa tofauti na image ya mwanamke lakini akakupenda zaidi sababu unasimamia kile unachokiamini.