Salaam,
Upendo wa mwanamke upo dynamic, hutegemea zaidi matarajio yake alonayo kwako kukamilika.
Mwanamke akikupenda, na ukakidhi matarajio yake, utakula mema ya nchi na kujiona mwamba.
Ikiwa mwanamke kakupenda bt hukukidhi matarajio yake, pendo lake kwako hufa chali kifo cha mende.
Kama upo kwenye mahusiano, ghafla mwanamke wako akabadilika bila sababu ya msingi, ujue hujakidhi matarajio yake hivo achana nae wala usimng'ang'anie coz utaambulia mateso yasiyo na likizo.