The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Unajua ni amani gani inazungumziwa kwenye maandiko?Tangazo la AMANI NA USALAMA LIPO KARIBU SANA....Huo ndo utakuwa mwanzo wa DHIKI KUU(The great tribulation) lililotajwa na Yesu.....
Mwisho uko karibu sana.... Mtafute Mungu kabla ingawa bado anapatikana.
Amani ya kwamba vita na migogoro baina ya nchi na nchi itakuwa imepatikana, umoja umepatikana 1 thessalonians 5:1-3Unajua ni amani gani inazungumziwa kwenye maandiko?
WrongAmani ya kwamba vita na migogoro baina ya nchi na nchi itakuwa imepatikana, umoja umepatikana 1 thessalonians 5:1-3
Ikiwa kuna zaidi ningependa kufahamishwa... ahsante..
Alisema hatujuwi siku wala saaTangazo la AMANI NA USALAMA LIPO KARIBU SANA....Huo ndo utakuwa mwanzo wa DHIKI KUU(The great tribulation) lililotajwa na Yesu.....
Mwisho uko karibu sana.... Mtafute Mungu kabla ingawa bado anapatikana.
Ndio lakini kuna clues kama hyo...Alisema hatujuwi siku wala saa
Nifahamishe tafadhali....Wrong
Okay, vita vinavyozungumzwa kwenye maandiko, ni 'spiritual war' au religion war.iko hivi, kutakuwa na muungano wa kidini kwa mgongo wa Baba wa imani , Abraham, muungano ambao utasifiwa na wanadamu kwa kuwa hapatakuwepo na ubaguzi,( hapo watu watasema , "TUMEPATA AMANI" kumbe ndio maangamio yamewafika. Muungano huu utakuwa na agenda iliyojificha ambayo ni.Nifahamishe tafadhali....
Wakubwa wanataka kugawana kipande cha Dunia bila kuingiliwa.Hawa watu wawili Kuna sili ndani yake, ngoja tuone
1 Kuhusu nyakati na matukio yasiyo wazi, ndugu, hamna haja ya kuwa na wasiwasi sana.Amani ya kwamba vita na migogoro baina ya nchi na nchi itakuwa imepatikana, umoja umepatikana 1 thessalonians 5:1-3
Ikiwa kuna zaidi ningependa kufahamishwa... ahsante..
Sheria za kiuchumi zinampingaje Mungu?Okay, vita vinavyozungumzwa kwenye maandiko, ni 'spiritual war' au religion war.iko hivi, kutakuwa na muungano wa kidini kwa mgongo wa Baba wa imani , Abraham, muungano ambao utasifiwa na wanadamu kwa kuwa hapatakuwepo na ubaguzi,( hapo watu watasema , "TUMEPATA AMANI" kumbe ndio maangamio yamewafika. Muungano huu utakuwa na agenda iliyojificha ambayo ni.
1. Kumshudia ibilisi/ shetani pasipokujua.
2. Kuuwa " to elimination " au kuwatesa wakristo wa kweli kwa njia ya kutunga sheria kali, moja wapo ni hii ya ugaidi, sheria za kiuchumi, yaani kununua na kuuza kwa masharti ya kutii sheria za kitaifa au kimataifa. Sheria hizi zitakuwa zinampinga Mungu wa mbinguni.
Kazi ya U.N ilishaisha kwa sasa hivi ni geresha tu, ndio maana Trump huwa hataki kuchangia ama kusaidia mashirika ya U.NHivi labda mimi sielewi vyema UN huwa ni wa matamko tu? bila kuwa na juhudi za kusimamisha mapigano Duniani? Maana utasikia kumepigwa kura ya kulaani mauaji mahala fula halafu basi kimyaaa, mpka unasikia mara Raisi wa Nchi flani kaitisha mkutano wa kuwapatanisha sasa hapo ndipo napo jiuliza UN ni yamatamko tu?
Ume quote kifungu cha biblia, imenipa imani kwamba ww ni msomaji mzuri wa maandiko, naamini umesoma kitabu cha ufunuo wa yohana kuuza na kununua bila kuwa na chapa ya mnyama. Ndio namaanisha. Kuhusu uchumi.Sheria za kiuchumi zinampingaje Mungu?