Mkuu Rai...Ray C kama tulivyo binadamu wengine hajakamilika.Arudi tu, ila mimi kwangu nadhani toka abadili rangi ndo ilikuwa mwisho wangu na yeye, sioni radha ya kumwangalia kabisa, namiss sana lile jicho la kwenye Uko Wapi!
She will never be the same.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenikumbusha ya Wolper na Uwoya.mimi nawapenda wote wanakubaliana sio kama wasanii wengine wakifanana...
halafu wanasauti za mahaba...
afanye na ya mwali kigego
Bila shaka nitamfikishia mkuu,shukraan.okey mkuu MUNGU akupe nguvu uendelee kumpigania sisi wengine tunatia DUA.....kama una mawasiliano nae muambie tumemmis sana na aka ka cover kime tu salivate sana......tunasubir udambwidambwi
Mkuu Rai...Ray C kama tulivyo binadamu wengine hajakamilika.
Hayo yamepita sasa tuangalie mbele.
Binafsi namshukuru Mungu sana kwa hapa alipo hivi sasa compared to Ray C yule wa juzikati hapo.
Tumpongeze kwa hatua hii tafadhali.
kheri mkuu....na uwe na mapumziko mema ya mwisho wa wiki mkuuBila shaka nitamfikishia mkuu,shukraan.
Actually nilishamuambia jinsi alivyoniua kwa hii cover [emoji4].
Lazima afanye jambo kubwa sasa,karudi vizuri.
Hahahahaha et mahabusu ya jf...afu mkuu hiyo avatar yako nomaaa nomaaa njossNi nzuri kweli hapo ray c kaitendea haki!
Hope ilikuwa inakufariji pindi upo mahabusu ya jf
Mkuu Ray C wa sasa sio yule wa juzi Mwananyamala,mengine ni mapito tu.Ray C alibamba sana enzi zake. Nakumbu kipindi hiyo California Dreamers aliingia Club ana msululu wa mabaunsa na Dj alipiga nyimbo zake full albam na watu no complain. Lakini siku hizi anapiga debe mitaa ya Komakoma. Dah vijana jiepusheni na Cocaine na Heroine hii ni mifano hai.
na huwakuti wakitajana kwa majina kwenye interview..[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenikumbusha ya Wolper na Uwoya.
Kweli Rachel na Ray C wanapendana hadi raha.
Ray C fanyia kazi haya maombi yetu pls.
Siwezi kusubiri.
Sikiliza audio hiyo sisi hatukuwepo kwenye hiyo showacha uongo
hii nyimbo waliimbaga pamoja live ilibidi recho afukie mashimo ya anapokwama ray c hana sauti siku hizi sio ray c wa nimezama
Unamlilia ray c!!! [emoji38]Nilifikiria hilo nikalia mkuu.
Amen,Mungu ni mwema.