Upepo cover; Shkamoo Ray C

Upepo cover; Shkamoo Ray C

Arudi tu, ila mimi kwangu nadhani toka abadili rangi ndo ilikuwa mwisho wangu na yeye, sioni radha ya kumwangalia kabisa, namiss sana lile jicho la kwenye Uko Wapi!



She will never be the same.

Mkuu Rai...Ray C kama tulivyo binadamu wengine hajakamilika.
Hayo yamepita sasa tuangalie mbele.

Binafsi namshukuru Mungu sana kwa hapa alipo hivi sasa compared to Ray C yule wa juzikati hapo.

Tumpongeze kwa hatua hii tafadhali.
 
mimi nawapenda wote wanakubaliana sio kama wasanii wengine wakifanana...

halafu wanasauti za mahaba...
afanye na ya mwali kigego
[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenikumbusha ya Wolper na Uwoya.
Kweli Rachel na Ray C wanapendana hadi raha.

Ray C fanyia kazi haya maombi yetu pls.
Siwezi kusubiri.
 
okey mkuu MUNGU akupe nguvu uendelee kumpigania sisi wengine tunatia DUA.....kama una mawasiliano nae muambie tumemmis sana na aka ka cover kime tu salivate sana......tunasubir udambwidambwi
Bila shaka nitamfikishia mkuu,shukraan.

Actually nilishamuambia jinsi alivyoniua kwa hii cover [emoji4].
Lazima afanye jambo kubwa sasa,karudi vizuri.
 
Mkuu Rai...Ray C kama tulivyo binadamu wengine hajakamilika.
Hayo yamepita sasa tuangalie mbele.

Binafsi namshukuru Mungu sana kwa hapa alipo hivi sasa compared to Ray C yule wa juzikati hapo.

Tumpongeze kwa hatua hii tafadhali.

Kabisa ni swala la kumshukuru, huwezi amini baada ya kuuona uzi wako nimelazimika kuweka playlist ya mdada huyu.
 
Bila shaka nitamfikishia mkuu,shukraan.

Actually nilishamuambia jinsi alivyoniua kwa hii cover [emoji4].
Lazima afanye jambo kubwa sasa,karudi vizuri.
kheri mkuu....na uwe na mapumziko mema ya mwisho wa wiki mkuu
 
Tatizo ni haya madawa yalimpoteza huyu dada. .."upo wapi nikufuate niambie nipajue...angalau nikuone roho yangu itulie..!!" Nampenda sana Ray C mungu amsimamie

Nilifikiria hilo nikalia mkuu.

Amen,Mungu ni mwema.
 
Ray C alibamba sana enzi zake. Nakumbu kipindi hiyo California Dreamers aliingia Club ana msululu wa mabaunsa na Dj alipiga nyimbo zake full albam na watu no complain. Lakini siku hizi anapiga debe mitaa ya Komakoma. Dah vijana jiepusheni na Cocaine na Heroine hii ni mifano hai.
Mkuu Ray C wa sasa sio yule wa juzi Mwananyamala,mengine ni mapito tu.

Tumuangalie Ray C wa sasa mkuu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenikumbusha ya Wolper na Uwoya.
Kweli Rachel na Ray C wanapendana hadi raha.

Ray C fanyia kazi haya maombi yetu pls.
Siwezi kusubiri.
na huwakuti wakitajana kwa majina kwenye interview..
utasikia dada angu / mdogo angu!
kwakweli bado tunawahitaji sana....
 
Kabisa ni swala la kumshukuru, huwezi amini baada ya kuuona uzi wako nimelazimika kuweka playlist ya mdada huyu.
Mimi wiki hii nzima ni Ray C pekee,AliKiba alikaa benchi [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
kajitahidi lakini sidhani kama kafanya kwa kiwango cha kuzidi original version. Kwa mimi original version bado ni fire kuliko hii ya ray c.

ila jana nimesikiliza interview yake EA radio, huyu dada anahitaji kurudi kwenye utangazaji. She has something unique katika utangazaji.
 
Nilifikiria hilo nikalia mkuu.

Amen,Mungu ni mwema.
Unamlilia ray c!!! [emoji38]
Ray c akijitambua kama ww ndiyo atakaa kwenye mstari. Anatakiwa kuwa free from inside na siyo kingine. Otherwise hawezi kusogea popote, atakuwa wa history, halafu jide ni mchawi ana roho mbaya, wanawake hawasaidiani hata kidogo.
 
Back
Top Bottom