kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Unaupata ukiwa wapi mkuuWakuu
Huu upepo unaopiga sasa hivi (Usiku) ni wa kawaida kweli?
Kimara bonyokwa hukuUnaupata ukiwa wapi mkuu
Inategemea na eneo, Wakinondoni wamezidi[emoji4]Wanaume wa Dar ni tatizo
Rudisha mtumbwi wako nchi kavu.Wakuu
Huu upepo unaopiga sasa hivi (Usiku) ni wa kawaida kweli?
Sasa upepo kwa raha zake ameamua kutembea kwa haraka ndo wanaume wa Dar wanakuja kulia lia humu.!Inategemea na eneo, Wakinondoni wamezidi[emoji4]
Nimesoma sehem kimeshaisha nguvu na kasi kwa iyo watanzania tuko salama.Kuna kimbunga kwenye Bahari ya hindi kimeishafika Madagascar na kimeleta hasara huko. Kinaonekana kuongeza kasi sababu na Msumbiji kimepitia.
Tuombe kisije kikakazana na kupitia Dar.