Upepo mkali Dar

Upepo mkali Dar

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu

Huu upepo unaopiga sasa hivi (Usiku) ni wa kawaida kweli?
 
Japo sipo Dar ila kama ungekuwa ni upepo hatarishi usingepata hata nguvu ya kufungua uzi mpya kuulizia, ungekuwa unakimbia sasa hivi kujinusiru
 
Kuna kimbunga kwenye Bahari ya hindi kimeishafika Madagascar na kimeleta hasara huko. Kinaonekana kuongeza kasi sababu na Msumbiji kimepitia.
Tuombe kisije kikakazana na kupitia Dar.
 
Toka nje kaa kibarazani vua nguo baki na boxa, simama, fumba macho, tanua mikono yote then vuta pumzi ndefu huku ukiwa unapigwa na huu upepo!! You will experience something you never experienced before!!
 
Upepo Huu ndo mzur sasa kwa kusuluhisha MIGOGORO ya ndoa [emoji4]
 
Upepo wa kawaida, nilikuwa nje muda ambao upepo unaanza na umeme ukakatika na mvua ikaanza kunyesha . Saizi ni 03:00 hakuna upepo ila kuna mvua na umeme umerudi. mbezi
 
Upepo hadi umeme umekatika, maana hakuna mgao wa saa nane usiku
 
wakazi wa mabondeni na miferejini hameni maeneo hayo hayafai kuishi binaadamu
 
Kuna kimbunga kwenye Bahari ya hindi kimeishafika Madagascar na kimeleta hasara huko. Kinaonekana kuongeza kasi sababu na Msumbiji kimepitia.
Tuombe kisije kikakazana na kupitia Dar.
Nimesoma sehem kimeshaisha nguvu na kasi kwa iyo watanzania tuko salama.

Ila hivi vimbunga tofauti yao sijui ni ipi.

Kuna Typhoon, cyclone na hurricane. Hii kutokea kwaanzia pwani ya mtwara msumbiji hadi madagascar nasikia waniita hurricane. Ile ya kule ufilipino wanaita typhoon.
 
Back
Top Bottom