Upepo mkali Dar

Mimi ni layperson kwenye mambo ya weather ila sababu nina tabia ya kuangalia weather kwenye TV kila wakati nimeona kuwa hurricane huwa inakuja kwa nguvu sana na huleta maafa mengi kama mafuriko, radi na karaha nyingi. Cyclone ni ile hutokea hata nchi kavu na hubeba mpaka mabati ya nyumba na huzunguka hata ikipita kwenye maji mfano watu wanaoishi karibu na ziwa Victoria upande wa Mara wana jina wanaloiita nimesahau. Nahisi Typhoon ni cha mtoto wa hurricane.
Watalaam wakuje watuelezee.
 
Muda huu hapa Ubungo kuna upepo Mkali hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…