Mimi ni layperson kwenye mambo ya weather ila sababu nina tabia ya kuangalia weather kwenye TV kila wakati nimeona kuwa hurricane huwa inakuja kwa nguvu sana na huleta maafa mengi kama mafuriko, radi na karaha nyingi. Cyclone ni ile hutokea hata nchi kavu na hubeba mpaka mabati ya nyumba na huzunguka hata ikipita kwenye maji mfano watu wanaoishi karibu na ziwa Victoria upande wa Mara wana jina wanaloiita nimesahau. Nahisi Typhoon ni cha mtoto wa hurricane.Nimesoma sehem kimeshaisha nguvu na kasi kwa iyo watanzania tuko salama.
Ila hivi vimbunga tofauti yao sijui ni ipi.
Kuna Typhoon, cyclone na hurricane. Hii kutokea kwaanzia pwani ya mtwara msumbiji hadi madagascar nasikia waniita hurricane. Ile ya kule ufilipino wanaita typhoon.
Watalaam wakuje watuelezee.