Upepo uliovuma Kunduchi mida ya saa 10 wengi walihisi ni kimbunga Jobo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote.

Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla.

Ramadhan kareem!
 
Tungesikia kimekuzoa we mnafiki mwanaCcm ingekuwa safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…