McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Nauliza tu maana miaka 2 nyuma ilikuwa kila msanii wa Tanzania alikuwa anatoa ngoma ya Amapiano lakini siku hizi naona upepo umekata kabisa
Soma Pia: Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!
Mwanzo tuliambiwa kuwa hii muziki ni maalumu kuupeleka muziki wa Tanzania kimataifa na ndo maana wanatoa ngoma za Amapiano maana zina taste ambayo hata watu wa nje ya Tanzania wanaweza kuvibe nayo lakini sasa hivi naona kimya
Nini kinaendelea?
Soma Pia: Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!
- Marioo – Mama Amina (ft. Sho Madjozi & Bonsai)
- Marioo – Beer Tamu
- Marioo – Bakhresa
- Diamond Platnumz – Iyo (ft. Focalistic, Mapara A Jazz & Ntosh Gazi)
- Diamond Platnumz – Komasava
- Diamond Platnumz – Shu! (ft. Chley)
- Harmonize – Teacher
- Harmonize – Single Again (Amapiano Remix)
- Rayvanny – Number One Amapiano Remix (ft. Zuchu)
- Rayvanny – Tetu
- Mbosso – Moyo (ft. Costa Titch & Phantom Steeze)
- Whozu – Chawa (ft. Rayvanny & Ntosh Gazi)
- Jux – Kitu (ft. Busiswa)
- Rayvanny – Woza (ft. Diamond Platnumz)
- Harmonize – Sandakalawe
- Loui – Selema
- Lava Lava – Tajiri
- Ibraah – Wandae (ft. DJ Tarico)
- Abbah Process – Chaku (ft. Marioo & Mbosso)
- Whozu – Ameyatimba (ft. Marioo)
- Lava Lava – Bado Sana (ft. Diamond Platnumz)
- Marioo – Lonely (ft. Loui)