Bub Gum or Chewing Gum Muzik baada ya kifo cha Costa titch mwenye Amapiano yake ndio nikasema sasa rasmi Amapiano imekufaNini kinaendelea?
Ni aina pekee ya muziki huwezi kunikuta nasikiliza..Nauliza tu maana miaka 2 nyuma ilikuwa kila msanii wa Tanzania alikuwa anatoa ngoma ya Amapiano lakini siku hizi naona upepo umekata kabisa
Soma Pia: Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!
Hiyo ni baadhi ya mikwaju ya Ambayo ilitamba sana miaka 2 au 3 nyuma lakini sasa hivi naona hakuna msanii ambaye anatoa mikwaju kama hiyo; Shida ni nini?
- Marioo β Mama Amina (ft. Sho Madjozi & Bonsai)
- Marioo β Beer Tamu
- Marioo β Bakhresa
- Diamond Platnumz β Iyo (ft. Focalistic, Mapara A Jazz & Ntosh Gazi)
- Diamond Platnumz β Komasava
- Diamond Platnumz β Shu! (ft. Chley)
- Harmonize β Teacher
- Harmonize β Single Again (Amapiano Remix)
- Rayvanny β Number One Amapiano Remix (ft. Zuchu)
- Rayvanny β Tetu
- Mbosso β Moyo (ft. Costa Titch & Phantom Steeze)
- Whozu β Chawa (ft. Rayvanny & Ntosh Gazi)
- Jux β Kitu (ft. Busiswa)
- Rayvanny β Woza (ft. Diamond Platnumz)
- Harmonize β Sandakalawe
- Loui β Selema
- Lava Lava β Tajiri
- Ibraah β Wandae (ft. DJ Tarico)
- Abbah Process β Chaku (ft. Marioo & Mbosso)
- Whozu β Ameyatimba (ft. Marioo)
- Lava Lava β Bado Sana (ft. Diamond Platnumz)
- Marioo β Lonely (ft. Loui)
Mwanzo tuliambiwa kuwa hii muziki ni maalumu kuupeleka muziki wa Tanzania kimataifa na ndo maana wanatoa ngoma za Amapiano maana zina taste ambayo hata watu wa nje ya Tanzania wanaweza kuvibe nayo lakini sasa hivi naona kimya
Nini kinaendelea?
Mbona Rhumba bado zinaishi tu mkuukila kitu, na wakati wake.
Wasanii wa bongo wanafanya rhumba siku hizi?Mbona Rhumba bado zinaishi tu mkuu
Wapo baadhi mkuuWasanii wa bongo wanafanya rhumba siku hizi?
Ndio kila kitu na wakati wake sasa huoni kwamba sasa wanafanya amapiano kuliko hata hiyo rhumba?Wapo baadhi mkuu
Ni sahihi.. ila nilichokuwa najaribu kusema tu ni kwamba hiyo genre ya muziki kwangu ni takataka. Makelele meeeengi ni ya vyombo tuNdio kila kitu na wakati wake sasa huoni kwamba sasa wanafanya amapiano kuliko hata hiyo rhumba?
Ndio mziki wa kisasa huoπ€£Ni sahihi.. ila nilichokuwa najaribu kusema tu ni kwamba hiyo genre ya muziki kwangu ni takataka. Makelele meeeengi ni ya vyombo tu
HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?Nauliza tu maana miaka 2 nyuma ilikuwa kila msanii wa Tanzania alikuwa anatoa ngoma ya Amapiano lakini siku hizi naona upepo umekata kabisa
Soma Pia: Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!
Hiyo ni baadhi ya mikwaju ya Ambayo ilitamba sana miaka 2 au 3 nyuma lakini sasa hivi naona hakuna msanii ambaye anatoa mikwaju kama hiyo; Shida ni nini?
- Marioo β Mama Amina (ft. Sho Madjozi & Bonsai)
- Marioo β Beer Tamu
- Marioo β Bakhresa
- Diamond Platnumz β Iyo (ft. Focalistic, Mapara A Jazz & Ntosh Gazi)
- Diamond Platnumz β Komasava
- Diamond Platnumz β Shu! (ft. Chley)
- Harmonize β Teacher
- Harmonize β Single Again (Amapiano Remix)
- Rayvanny β Number One Amapiano Remix (ft. Zuchu)
- Rayvanny β Tetu
- Mbosso β Moyo (ft. Costa Titch & Phantom Steeze)
- Whozu β Chawa (ft. Rayvanny & Ntosh Gazi)
- Jux β Kitu (ft. Busiswa)
- Rayvanny β Woza (ft. Diamond Platnumz)
- Harmonize β Sandakalawe
- Loui β Selema
- Lava Lava β Tajiri
- Ibraah β Wandae (ft. DJ Tarico)
- Abbah Process β Chaku (ft. Marioo & Mbosso)
- Whozu β Ameyatimba (ft. Marioo)
- Lava Lava β Bado Sana (ft. Diamond Platnumz)
- Marioo β Lonely (ft. Loui)
Mwanzo tuliambiwa kuwa hii muziki ni maalumu kuupeleka muziki wa Tanzania kimataifa na ndo maana wanatoa ngoma za Amapiano maana zina taste ambayo hata watu wa nje ya Tanzania wanaweza kuvibe nayo lakini sasa hivi naona kimya
Nini kinaendelea?
Hizo kelele za masahani masahani na vijiko ndio mziki wa sasa? Safari tunayoNdio mziki wa kisasa huoπ€£
Hao waliokuwa busy na hiyo miziki mbona hawaonekani?π€£Tupo Busy Na Rhumba,Ziki La Hadhi ya Nyota 7,Ziki La Wastaarabu.
Sikiliza 3 steps umetulia kidogo kuliko amapianoHizo kelele za masahani masahani na vijiko ndio mziki wa sasa? Safari tunayo