Upepo wa kisulisuli watikisa Mwanza

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.

Single mother mmoja alisikika akishukuru kukumbwa na upepo wa kisulisuli kwani alikuwa ameshakata tamaa ya kuolewa.

WITO KWA SINGLE MOTHER WOTE.

Msikate tamaa upepo wa kisulisuli upo njiani kuwafikia.
 
Hivi huu upepo mbona kama vile unanikwepa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…