Upepo wa kisulisuli watikisa Mwanza

Upepo wa kisulisuli watikisa Mwanza

Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.

Single mother mmoja alisikika akishukuru kukumbwa na upepo wa kisulisuli kwani alikuwa ameshakata tamaa ya kuolewa.

WITO KWA SINGLE MOTHER WOTE.
Msikate tamaa upepo wa kisulisuli upo njiani kuwafikia.
Ni jambo zuri sana kwakweli

Hao single mothers, wapewe somo baada ya muujiza wa upepo wa kisulisuli.
Wasiwe wepesi wa kupasha viporo, ili wapunguze migogoro ya visu na gunia mbili za mkaa.
 
Upepo wa kisulisuli [emoji23][emoji23] hatariii
 
Sio utaje jina kamili la kanisa, unaongopa nini wewe, au hizi habari ni za uongo, kaa ni kweli tupe jina kamili la kanisa, au hizi ndoa ni za siri ?????
 
Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.

Single mother mmoja alisikika akishukuru kukumbwa na upepo wa kisulisuli kwani alikuwa ameshakata tamaa ya kuolewa.

WITO KWA SINGLE MOTHER WOTE.
Msikate tamaa upepo wa kisulisuli upo njiani kuwafikia.

Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.

Single mother mmoja alisikika akishukuru kukumbwa na upepo wa kisulisuli kwani alikuwa ameshakata tamaa ya kuolewa.

WITO KWA SINGLE MOTHER WOTE.
Msikate tamaa upepo wa kisulisuli upo njiani kuwafikia.
KISULISULI CHENYEWE NDO HIKI:-
 
Attachments

  • VID-20191018-WA0002.mp4
    801.9 KB
Back
Top Bottom