Ni jambo zuri sana kwakweliNdani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.
Single mother mmoja alisikika akishukuru kukumbwa na upepo wa kisulisuli kwani alikuwa ameshakata tamaa ya kuolewa.
WITO KWA SINGLE MOTHER WOTE.
Msikate tamaa upepo wa kisulisuli upo njiani kuwafikia.
Huu upepo wa kisulisuli umegoma kunifikia
sio cute b bwanaIla wee cute B una mambo wewe!
Mganga mwenye asili ya kiyoruba kutoka Nigeria nipo hapa tunatengeneza upepo na vimbunga kwa bei rahisi tu ata ukitaka Yule shost ako aachike uolewe wewe dawa zipoHuu upepo wa kisulisuli umegoma kunifikia
Nimefanyaje mpendwa?Ila wee cute B una mambo wewe!
π π π πIla wee cute B una mambo wewe!
Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.
Single mother mmoja alisikika akishukuru kukumbwa na upepo wa kisulisuli kwani alikuwa ameshakata tamaa ya kuolewa.
WITO KWA SINGLE MOTHER WOTE.
Msikate tamaa upepo wa kisulisuli upo njiani kuwafikia.
KISULISULI CHENYEWE NDO HIKI:-Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17.
Single mother mmoja alisikika akishukuru kukumbwa na upepo wa kisulisuli kwani alikuwa ameshakata tamaa ya kuolewa.
WITO KWA SINGLE MOTHER WOTE.
Msikate tamaa upepo wa kisulisuli upo njiani kuwafikia.
Umeutengenezea mazingira au unataka uje kama miujiza?Huu upepo wa kisulisuli umegoma kunifikia
Nataka ukufikie,nafanyaje?Huu upepo wa kisulisuli umegoma kunifikia