GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%.
Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium kucheza na Dodoma Jji FC acheni Dharau na Kujiamini sana bali ingieni kwa Umakini wote na Nidhamu ya Kuwaheshimu hao Wapinzani wenu kwani japo Kiufundi na Kiuwezo Simba SC ina 99.9% za Kushinda ila lolote laweza kutokea.
Simba na Yanga kuweni ' makini ' ASFC.