Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

Afu usikute jamaa ana degree,, Kwa hali hy ngoja nijipe shavu na Hapa ndio naamin mr pipa ni next level anatoa mada za sayar nyingine ambazo binadamu wa level ya degree hawez kufikiria,,, afu kuna wale wa hiyi chai humu huwaon kwakuwa wamesikia wanachokipenda chenye akili inayowafanania oya mkuu rudisha ada ya wazazi wako umewatapeli kwakweri
 
Nataka bilioni na mbinguni pia. Kama sifa ya kwenda mbinguni ni kupigika basi wengi hatutaenda
 
Usitumie nguvu sana pasi kufikiri Ilo swali kauliza prof WA havard university school of medicine kwa wanafunz wake sema yéyé kaweka One billion dollars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…