Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
 
Hiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000÷365=2, 740/-

Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa hayupo serious na mawazo yake kama ya watoto wa msingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli.
 
milioni moja umeona nyingii kwel!!😅😅😂😂😅😂 nipe ten 1M. nanunua pes 5 kwanza
 
HHahaha huy
Kuna chali hapa anasema miaka miwili apewe million 2 zake tu.


Lunatic
emoji2957.png
emoji2957.png
emoji2957.png
we ungeweza
Why not boss? Japo ofa yenyewe nimeichekecha namna hiyo nikaona ni ubatili mtupu
great thinker
 
Back
Top Bottom