Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
Milioni mbona kubwa sana.
Ebu weka nusu yake kitufe cha flaiti modo kiko karibu hapa
 
Hiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000÷365=2, 740/-

Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000÷365=2, 740/-

Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari
 
Hiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000÷365=2, 740/-

Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
Dah...Kweli umasikini mbaya.

Afanye hata 20,000/day. Hapo angalau uhakika wa kunywa bia nane kwa siku.
 
Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
Ukiwa kula kulala utaweza, lakini hakuna mpambanaji anaweza kukubali ujinga wa nama hiyo. Nikae iddle mwaka mzima nitakosa fursa nyingi za kuniingizia zaidi ya hiyo milioni, nitaidumaza akili na mwaka ukiisha sina plan mpya na dunia imeniacha!
 
We ungeishi titambo kile ungefeli Sana bro
 
Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
Ukimaliza huo mwaka unakuta namba yako imepotezwa.
 
Back
Top Bottom