Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
 
Hiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000Γ·365=2, 740/-

Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa hayupo serious na mawazo yake kama ya watoto wa msingi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli.
 
milioni moja umeona nyingii kwel!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚ nipe ten 1M. nanunua pes 5 kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…