HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 218
- Thread starter
-
- #21
Kwakutumia simu tu kuna watu wanaingiza hiyo hela ndani ya week moja.
Mimi simu inanipa more than 2mls kwa si
hahaha inaonysha kungekuwa hakuna vitu kama simu na mitandao , mzee ungekuwa maskini sana aisee... ahaha ni mawazo tu lakiniMimi simu inanipa more than 2mls kwa siku
Milioni mbona kubwa sana.Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
Nipo hapa, nikifa uitoe kama urithiNakuwekea million tano hapa saivi usile wala kunywa chochote wala kutoka chumbani kwa muda wa siku saba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nipo hapa, nikifa uitoe kama urithi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000÷365=2, 740/-
Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
Op (operation pombe)Nakuwekea million tano hapa saivi usile wala kunywa chochote wala kutoka chumbani kwa muda wa siku saba
Never take that offerwatu mko makini, so you considered the offer?
Usiogope andika kama ilivyo... Andika Off Point!Op (operation pombe)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]HatariHiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000÷365=2, 740/-
Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
Dah...Kweli umasikini mbaya.Hiyo milioni ukiigawanya kwa siku 365 za mwaka hesabu itakuja hivi
1, 000, 000÷365=2, 740/-
Yaani shilingi elfu mbili miasaba arobaini tu kwa siku ndio utakuwa unaingiza. Sasa hicho kiasi ndio kikutenge na simu yako?
Ukiwa kula kulala utaweza, lakini hakuna mpambanaji anaweza kukubali ujinga wa nama hiyo. Nikae iddle mwaka mzima nitakosa fursa nyingi za kuniingizia zaidi ya hiyo milioni, nitaidumaza akili na mwaka ukiisha sina plan mpya na dunia imeniacha!Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
Umesahau upo jukwaa gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa hayupo serious na mawazo yake kama ya watoto wa msingi
Sahihisha, manzi ni siku 7, mwamba ni siku 5, (at normal standard conditions).Siku 7 hutoboi labda kama ni manzi ila mwamba siku 6 tu lazma ukate moto!
Hii ni sawa na yale mawazo ya,mara unasikia paa unageuka nyuma unakuta gunia limejaa hela😁😂..Mawazo ya kimasikini bhana!
We ungeishi titambo kile ungefeli Sana broUkiwa kula kulala utaweza, lakini hakuna mpambanaji anaweza kukubali ujinga wa nama hiyo. Nikae iddle mwaka mzima nitakosa fursa nyingi za kuniingizia zaidi ya hiyo milioni, nitaidumaza akili na mwaka ukiisha sina plan mpya na dunia imeniacha!
Hiyo ni Squid GameSiku 7 hutoboi labda kama ni manzi ila mwamba siku 6 tu lazma ukate moto!
Ukimaliza huo mwaka unakuta namba yako imepotezwa.Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee