Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Nami nilitaka kumwambia juu ya miaka. Tena anunue kuanzia gari za 2010. Kama nakumbuka sahihi hizi European cars zilipitia mabadiliko makubwa katika emissions na performance kutokana na matakwa ya kimiongozo ya Umoja wa Ulaya. Hivyo gari ziliboreshwa zaidi ili kukidhi miongozo hiyo.Pamoja ila usiombe ushauri kwa watu wa Toyota hawanaga clue.....zungumza na wamiliki.
Pia usinunue magari ya miaka ya zamani sijui 2002 3 4 huko...
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app