Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Unakurupuka na mapofu....uzi hata hujausoma
 
Alipokwenda Ethiopia Muhammad' alikuwa anafuata mfano wa Nabii Issa alipokwenda misri, hakuwa anakwenda ugenini, Bali kwenye shina la babu zake walikotokea
 
wajinga wajinga bado wanadhania Africa ilianza baada ya mkutano Berlin
 
unayapinga maneno ya muumba wako...pale aliposema.."nakutokana nao(ADAM NA HAWA) yakatoka mataifa mbali mbali.."
Mkuu kwani is it impossible mtu mweusi kuzaa rangi tofauti kama MUNGU akiamua??
 
Mkuu, haya unayosema umeyatoa wapi? Wanafeli ni watu kama watu wa kawaida tu ila wao walijaliwa kuumbwa wakiwa na miili mikubwa sana. Na waliogopwa na watu wengine kutokana na maumbile ya miili yao.

Ila hakuna sehemu ambapo panathibitisha kuwa Ibilisi na jeshi lake walizaa na wanadamu ndani ya Biblia. Mimi naamini wanafeli walikuwa ni wanadamu ambao waliumbwa na Mungu kabisa, hata Goliath aliumbwa na Mungu.
 
Nephillism hawakuwepo before walikuja kujitokeza baada ya falling angel kuwa sex binadamu ,na hali haikundulika mapema ilikuja onekana baada ya mitoto kuwa mikubwa bila kikomo ndo wakashamga nakuanza kujiuliza what happen
Source yako inatoka ndani ya Biblia ama umesoma tu nakala za mitandaoni?
 
hawakuwa waarabu Ama wazungu weupe
kama walikua weusi wote inamaana QURAN NA SCIENCE zimepingwa kwenye suala la genetic inheritance......kutokana na kuwa kama watu wawili mwanaume na mwanamke wote wana asili ya weusi yaani wazazi wao na mababu zao wote kama walikuwa ni weusi kizazi chao hakiwezi toa watu weupe...eg.albino hawa kizazi chao kikikutana wao kwa wao watatoa albino milele....au wamasai kamwe huwezi mkuta mmasai mweupe....labda aoe mzungu au mtu mweupe....kama dunia ya awali ilikua na wtu weusi tupu WHERE ARE THOSE WHITES COMING FROM?
 
Nini kilisababisha uzame mkuu unaweza tupa mwanga kidogo na je ni kweli walikuwa na maendeleo kubwa sana ya kiteknolojia
kuzama ni mambo ya mungu kaka, ila mbona kuna mji mikubwa na ina history ya kutisha na ika potezwa pap kama hivyo au kwa design nyingine mambo haya hayana science maelezo ila ni mambo ya mungu mkizingua binadamu mna potezwa tuh na kamji kenu, mfano kuna mjii wa babilon,pompei, na mengine ili potezwa.ila hakuna scientific reasons zaidi ya ku guess na theory nyingi..... babilon nayo mji kongwe ndo uchawi ulipo teremshwa yani ulianzia hapo.mji mingi tu ilipotea kwa maajabu.
 
Mkuu labda nichangie hapo shida inakuja neno lililotumika mfano wanefili ama warefai ukiingia kwenye dictionary ya kiebrania ina maanisha UZAO WA PEPO/ROHO sasa je kuna mwanadamu anaweza kuwa uzao wa Roho??

Unaweza pitia encyclopedia hii ukasoma kuhusu hawa warefai/wanefili ya kwamba sio wanadam wa kawaida

Rephaim
 
Mkuu swali ulilouliza ni illogical kabisa sorry to say that sababu kama ukihoji weupe walitoka wapi kama wote tukiwa weusi je naye si atakuuliza kama wwe unadhani dunia nzima tulikuwa weupe je sisi weusi tumetoka wapi?? More debate
 
Source yako inatoka ndani ya Biblia ama umesoma tu nakala za mitandaoni?
Bible inasema mkuu ingawa kuna contradiction kuwa wana wa Mungu wanaotajwa Genesis 6 ni malaika au wanadamu ingawa biblia ya kiebrania inajibu kuwa ni VIUMBE WA MBINGUNI sio kibinadam yaani Bnei-Elohim

Mstari mwingine ni kutoka yuda

6 Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu.
7 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele.

Hapo ndipo kwenye utata aliposema KWA JINSI MOJA NA HAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…