Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
Unakurupuka na mapofu....uzi hata hujausomaMUHAMMAD hakuwa mtu mweusi.....PROVE ME WRONG......katika siirah ya mtume..inaonesha ya kuwa nchi zilizokuwa zinaendelea kusambaziwa somo juu ya uislamu walikua wakidai ya kuwa dini ya kiislamu ni ya waarabu tu na siyo ya ulimwengu mzima na ilishushushwa kwa MUHAMMAD MUARABU kwa ajili ya waarabu.....JE VIPI LEO HII MUHAMMAD AWE MTU MWEUSI?....acha kudanganya ummah
hearly